Thursday, January 16

HABARI KATIKA PICHA: JET yawapatia waandishi wa habari mafunzo juu ya suala la uhifadhi wa wanyamapori na Bionuai

MKURUGENZI Mtendaji wa chama cha waandishi wa habari za Mazingira Tanzania(JET) John Chikomo, akifungua mafunzo kwa waandishi wa habari za Mazingira Tanzania kupitia mradi wa  USAID Tuhifadhi Maliasili, unaotekelezwa na JET Tanzania kwa ufadhili wa shirika la misaada la watu wa Marekani (USAID)
WAANDISHI wa Habari za Mazingira Tanzania, wakiwa katika mafunzo uhifadhi wa wanyamapori na Bioanuwai, yalioandaliwa na chama cha waandishi wa habari za Mazingira Tanzania(JET) kupitia mradi wa  USAID Tuhifadhi Maliasili, unaotekelezwa na JET Tanzania kwa ufadhili wa shirika la misaada la watu wa Marekani (USAID)
MWANDISHI wa Habari kutoka Gazeti la Nipashe Zanzibar Rahma Suleiman, akichangia mada katika mafunzo uhifadhi wa wanyamapori na Bioanuwai, yalioandaliwa na chama cha waandishi wa habari za Mazingira Tanzania(JET) kupitia mradi wa USAID Tuhifadhi Maliasili, unaotekelezwa na JET Tanzania kwa ufadhili wa shirika la misaada la watu wa Marekani (USAID)
MENEJA Ushirikishwaji wa sekta binafsi mradi wa Tuhifadhi Maliasili Tanzania Dr.Elikana Kalumanga, akimsikiliza mwandishi wa habari wa Gazeti la Nipashe Jenifer Gilla, akichangia mada katika mafunzo uhifadhi wa wanyamapori na Bioanuwai, yalioandaliwa na JET kupitia mradi wa USAID Tuhifadhi Maliasili, unaotekelezwa na JET Tanzania kwa ufadhili wa shirika la misaada la watu wa Marekani (USAID)
MENEJA ufuatiliaji na Tathmini kutoka mradi wa USAID Tuhifadhi Maliasili Tanzania John Steven Noronha, akizungumza na waandishi wa Habari za Mazingira Tanzania, katika mafunzo uhifadhi wa wanyamapori na Bioanuwai, yalioandaliwa na JET kupitia mradi wa USAID Tuhifadhi Maliasili, unaotekelezwa na JET Tanzania kwa ufadhili wa shirika la misaada la watu wa Marekani (USAID)

PICHA ZOTE NA  ABDI SULEIMAN, BAGAMOYO

 

 

 

 

Abdi Juma Suleiman

Journalist/Photographer

Zanzibarleo newspaper
Chake Chake -Pemba
+255774565947 or +255718968355

Warning: file_get_contents(): http:// wrapper is disabled in the server configuration by allow_url_fopen=0 in /data/40/5/71/99/5397425/user/6768456/htdocs/portal/wp-content/plugins/xt-visitor-counter/xt-visitor-counter.php on line 48

Warning: file_get_contents(http://api.xtrsyz.org/xt-visitor-counter/default.php?domain=www.pembapress.club&time=1736995450): Failed to open stream: no suitable wrapper could be found in /data/40/5/71/99/5397425/user/6768456/htdocs/portal/wp-content/plugins/xt-visitor-counter/xt-visitor-counter.php on line 48