Friday, November 15

PEGAO yawanoa watiania wanawake kisiwani Pemba

WANAWAKE wanaotarajiwa kugombea nafasi za uongozi na siasa katika mchakato wa Kidemokrasia Kisiwani Pemba, wakiwa katika kazi za vikundi kwa uchoraji wa Picha, wakati wa mafunzo ya siku mbili yaliyoandaliwa na PEGAO, ikiwa ni utekelezaji wa mradi SWILL, unatekelezwa kwa pamoja kati ya TAMWA Zanzibar, ZAFELA na PEGAO kwa ufadhili wa Ubalozi wa Norway nchini.(PICHA NA BDI SULEIMAN, PEMBA)
MWANAHARAKATI wa masuala ya wanawake na watoto Kisiwani Pemba Sabahi Mussa Said, akizungumza wakati wa mafunzo ya kuwajengea uwezo wanawake wanaotarajiwa kugombea nafasi za uongozi na siasa katika mchakato wa Kidemokrasia, mafunzo yalifanyika mjini Chake Chake na kuandalia na PEGAO, ikiwa ni utekelezaji wa mradi SWILL, unatekelezwa kwa pamoja kati ya TAMWA Zanzibar, ZAFELA na PEGAO kwa ufadhili wa Ubalozi wa Norway nchini.(PICHA NA BDI SULEIMAN, PEMBA)

PEGAO