Thursday, February 27

PROFESA Mnyaa akabidhi mashine ya sukumia maji yenye thamani ya Milioni 28.

MBUNGE wa Jimbo la Mkoani Wilaya ya Mkoani, ambe pia ni Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Profesa Makame Mnyaa Mbarawa (mwenye miwani) akiwakabidhi watendaji wa Mamlaka ya Maji Zanzibar (ZAWA) mashine ya kusukumia maji yenye thamani ya shilingi Milioni 28, huku wananchi wakijiji cha Ulenge wakishuhudia zoezi hilo, ikiwa ni utekelezaji wa ahadi yake kwa wananchi wajimbo hilo.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)