MWENYEKITI wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mama Mariam Mwinyi (katikati), akiwaongoza Viongozi Mbali Mbali wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar katika matembezi Maalumu yalioanzia Kiwanda cha Makonyo hadi Gombani Kongwe Wilaya ya Chake Chake WATENDAJI wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar wakiongoza na Mkuu wa Wilaya ya Chake Chake Abdalla Rashid Ali na Mkuu wa Wilaya ya Mkoani Khatibu Juma Mjaja, wakifanya mazoezi ya viungo wakati wa mara baada ya kumalizika kwa matembezi Maalumu yalioanzia Kiwanda cha Makonyo hadi Gombani Kongwe Wilaya ya Chake Chake MWENYEKITI wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mama Mariam Mwinyi (katikati), akiwaongoza Viongozi Mbali Mbali wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar katika mazoezi ya Viungo mara baada ya kumalizika kwa matembezi Maalumu yalioanzia Kiwanda cha Makonyo hadi Gombani Kongwe Wilaya ya Chake Chake. KAMISHNA wa Idara ya Michezo Zanzibar Ameir Mohamed Makame, akitoa maelezo mafupi ya Wizara ya Habari Vijana Utamaduni na Michezo Zanzibar, wakati wa matembezi Maalumu yalioanzia Kiwanda cha Makonyo hadi Gombani Kongwe Wilaya ya Chake Chake MKUU wa Mkoa wa Kusini Pemba Mattar Zahor Massoud, akizungumza na wanavikundi mbali mbali vya mazoezi ya Viungo vya Mkoa huo, wakati wa matembezi Maalumu yalioanzia Kiwanda cha Makonyo hadi Gombani Kongwe Wilaya ya Chake Chake, yalioandaliwa na taasisi ya ZMBF BAADHI ya wanamichezo kutoka vikundi, mbali mbali vya michezo Mkoa wa Kusini Pemba, wakimsikiliza kwa makini Mwenyekiti wa Taasisi ya Maisha Bora Foundation Zanzibar, Mama Mariam Mwinyi wakati alipokua akizungumza na wanavikundi hao, wakati wa matembezi Maalumu yalioanzia Kiwanda cha Makonyo hadi Gombani Kongwe Wilaya ya Chake Chake, yalioandaliwa na taasisi ya ZMBF MWENYEKITI wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mama Mariam Mwinyi akizungumza na wanavikundi mbali mbali vya mazoezi Mkoa wa Kusini Pemba, mara baada ya kumalizika kwa matembezi Maalumu yalioanzia Kiwanda cha Makonyo hadi Gombani Kongwe Wilaya ya Chake Chake, yalioandaliwa na taasisi ya ZMBF MWENYEKITI wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mama Mariam Mwinyi akiwakabidhi taulo za kike wanafunzi 200 wa skuli ya Sekondari ya Dr.Mpango na wanafunzi 100 wa skuli ya Msingi Uzalendo Mkoa wa Kusini Pemba, mara baada ya kumalizika kwa matembezi Maalumu yalioanzia Kiwanda cha Makonyo hadi Gombani Kongwe Wilaya ya Chake Chake, yalioandaliwa na taasisi ya ZMBF MWENYEKITI wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mama Mariam Mwinyi akiwa katika Picha ya pamoja na wanafunzi wa skuli ya Sekondari ya Dr.Mpango na skuli ya Msingi Uzalendo Mkoa wa Kusini Pemba, mara baada ya kuwakabidhi Taulo za Kike, wakati wa matembezi Maalumu yalioanzia Kiwanda cha Makonyo hadi Gombani Kongwe Wilaya ya Chake Chake, yalioandaliwa na taasisi ya ZMBF (PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA) Share