Monday, November 25

HABARI PICHA: Watoa msaada wa kisheria kujengewa uzoefu.

HAKIMU Dhamana Mkoa wa Kusini Pemba pia ni Kaimu Naibu Mrajis wa Mahakama Zired Abdulkarim Msanif, akifungua kikao cha kujenga uzoefu wa watoa msaada wa kisheria katika maadhimisho ya Wiki ya Msaada wa Kisheria Zanzibar, mkutano uliondaliwa na Idara ya Katiba na Msaada wa Kisherai Zanzibar nakufanyika Gombani Mjini Chake Chake
AFISA Sheria kutoka Idara ya Katiba na Msaada wa Kisheria Zanzibar Bakari Omar Ali, akizungumzia malengo ya kikao cha kujenga uzoefu wa watoa msaada wa kisherika katika maadhimisho ya Wiki ya Msaada wa kisheria Zanzibar, mkutano uliondaliwa na Idara ya Katiba na Msaada wa Kisherai Zanzibar nakufanyika Gombani Mjini Chake Chake..
MWANASHERIA Mohamed Hassan akiwasilisha mada Uzoefu katika kutoa msaada wakisheria, wakati wa kikao cha kujenga uzoefu wa watoa msaada wa kisheria Zanzibar, mkutano uliondaliwa na Idara ya Katiba na Msaada wa Kisherai Zanzibar nakufanyika Gombani Mjini Chake Chake
MKURUGENZI wa Jumuiya ya wasaidizi wa sheria Wilaya ya Chake Chake Nassor Bilali, akichangia mada wakati wa wakati wa kikao cha kujenga uzoefu wa watoa msaada wa kisheria Zanzibar, mkutano uliondaliwa na Idara ya Katiba na Msaada wa Kisherai Zanzibar nakufanyika Gombani Mjini Chake Chake.

 

.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)