WANAFUNZI wenye mahitaji maalumu kutoka skuli ya Kiswanduwi Unguja, wakiimba wimbo maalumu wakati wa kilele cha Tamasha la 59 la Elimu bila ya Malipo, hafla iliyofanyika katika viwanja vya skuli ya sekondario Fidel Castro Chake Chake Pemba MAKAMU wa Pili wa Rais Zanzibar Hemed Suleiman Abdulla, akimkabidhi zawadi mwanafunzi mwenye mahitaji maalumu Fatma Juma Haji kutoka skuli ya Msingi Kiswanduwi Unguja, baada ya kumaliza kuimba wimbo maalumu wakati wa kilele cha Tamasha la 59 la elimu bila malipo, hafla iliyofanyika katika viwanja vya skuli ya sekondario Fidel Castro Chake Chake Pemba.( WANAFUNZI wa Skuli ya Msingi Madungu ambao ni mabingwa wa kipengele cha Nyimbo, wakiimba wimbo wao wa Mwanandere wakati wa kilele cha Tamasha la 59 la elimu bila malipo, hafla iliyofanyika katika viwanja vya skuli ya sekondario Fidel Castro Chake Chake Pemba KATIBU Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Khamis Abdulla Said, akizungumza katika kilele cha Tamasha la 59 la elimu bila malipo, hafla iliyofanyika katika viwanja vya skuli ya sekondari Fidel Castro Chake Chake Pemba WAZIRI wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Lela Mohamed Mussa, akizungumza na walimu, wanafunzi na viongozi wa Serikali, wakati kilele cha Tamasha la 59 la elimu bila malipo, hafla iliyofanyika katika viwanja vya skuli ya sekondario Fidel Castro Chake Chake Pemba.( MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar Hemed Suleiman Abdulla, akiwahutubia walimu, wanafunzi na viongozi wa serikali wa mikoa mitano ya Zanzibar, walioshiriki katiaka kilele cha Tamasha la 59 la elimu bila malipo, hafla iliyofanyika katika viwanja vya skuli ya sekondari Fidel Castro Chake Chake Pemba BAADHI ya walimu na wanafunzi kutoka mikoa mitano ya Zanzibar walioshiriki katika kilele cha Tamasha la 59 la elimu bila malipo, wakifuatilia maadhimisho hayo katika viwanja vya skuli ya sekondario Fidel Castro Chake Chake Pemba.( MAKAMU wa Pili wa Rais Zanzibar Hemed Suleiman Abdulla, akimkabidhi kombe la Nidhamu kwa Mkoa wa Kusini Pemba Afisa Elimu Mkoa huo Mwalimu Mohamed Shamte, wakati kilele cha Tamasha la 59 la elimu bila malipo, hafla iliyofanyika katika viwanja vya skuli ya sekondari Fidel Castro Chake Chake Pemba.( MAKAMU wa Pili wa Rais Zanzibar Hemed Suleiman Abdulla, akimkabidhi kombe la mshindi wa jumla katika mashindano ya Elimu bila malipo mwaka 2023 Mkoa wa Mjini Magharibi, Afisa Elimu Mkoa huo Mwalimu Mohamed Abdalla Mohamed, wakati kilele cha Tamasha la 59 la elimu bila malipo, hafla iliyofanyika katika viwanja vya skuli ya sekondari Fidel Castro Chake Chake Pemba.( MAKAMU wa Pili wa Rais Zanzibar Hemed Suleiman Abdulla, akimkabidhi Zawadi mshindi bora wa kwanza kipengele cha Insha mwanafunzi Hajra Hafidhi Haji, wakati kilele cha Tamasha la 59 la elimu bila malipo, hafla iliyofanyika katika viwanja vya skuli ya sekondari Fidel Castro Chake Chake Pemba.( WANAFUNZI Kutoka Skuli mbali mbali Zanzibar, wakiimba wimbo maalumu wa Tamasha la Elimu bila malipo wakati kilele cha Tamasha hilo la 59, hafla iliyofanyika katika viwanja vya skuli ya sekondari Fidel Castro Chake Chake Pemba.( Share