Thursday, January 16

HABARI PICHA: Dk.Hussein Ali Mwinyi afungua Hospitali Wilaya Vitongoji Wilaya ya Chake Chake Mkoa wa Kusini Pemba

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi, akizungumza na watendaji wa Wizara ya Afya, wakati wa hafla ya ufunguzi wa Hospitali ya Wilaya Vitongoji Wilaya ya Chake Chake
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi, akikunjua kitambaa pamoja na viongozi wa Wizara ya Afya Zanzibar, kuashiria ufunguzi wa Hospitali Wilaya Vitongoji Wilaya ya Chake Chake Mkoa wa Kusini Pemba
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi, akiwa na mama Mariyam Mwinyi, na viongozi wa Wizara ya Afya Zanzibar, Katibu Mkuu Kiongozi na Katibu wa Baraza la Mapinduzi, mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba na viongozi wa Chama, wakikata utepe kuashiri Uzindundi wa Hospitali ya Wilaya Viongoji Wilaya ya Chake Chake
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi, akipata maelezo kutoka kwa mtaalamu wa EXRY Khamis Salum Khamis, wakati alipotembelea chumba hicho katika hafla ya ufunguzi huko Vitongoji
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi, akipata maelezo kutoka kwa Waziri wa Afya Zanzibar Nassor Ahmed Mazryui, wakati alipokua akikagua hospitali ya Wilaya ya Vitongozi Wilaya ya Chake Chake.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussin Ali Mwinyi, akipata maelezo kutoka kwa mtaalamu wa dawa za Usingizi Omar Atiki, wakati alipotembea chumba cha upasuaji wa magonjwa mbali mbali, katika hospitali ya Wilaya Vitongoji
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi, akipanda mti mara baada ya kuifungua rasmi hospitali ya Wilaya ya Vitongoji, kushoto kwa Rais ni Waziri wa Afya Zanzibar Nassor Ahmde Mazruo, wakati wa ziara yake Kisiwani Pemba
VIONGOZI mbali mbali wa Serikali wakiongoza na mawaziri, makatibu wakuu, na watendaji kutoka Wizara ya Afya Pemba wakifuatilia hafla ya ufunguzi wa Hospitali ya Wilaya Vitongoji

(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)