Thursday, November 14

Rais Dk HUssein Mwinyi awapongeza wanafunzi wa kidatu cha nne na sita Ikulu

WANAFUNZI wa Kidatu cha Nne 2022 na wa Kidatu cha Sita 2023 wa Skuli mbalimbali za Sekondari Zanzibar za Serikali na Binafsi, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia katika hafla ya kuwapongeza kwa kufanya vizuri Mitihani yao ya Taifa na kupata Daraja la Kwanza, na kujumuika nao katika chakula maalum alichowaandalia katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar 12-11-2023.(Picha na Ikulu)
WALIMU wa Skuli za Sekondar Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia katika hafla ya kuwapongeza Wanafunzi wa Kidatu cha Nne 2022 na wa Kidatu cha Sita 2023 kwa kufanya vizuri Mitihani yao ya Taifa na kupata Daraja la Kwanza, wakati wa hafla maalum ya kuwapongeza na kujumuika nao katika chakula maalum alichowaandalia katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar .(Picha na Ikulu)
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akiwatunza Wanafunzi Aisha na Khadija wakisoma Utenzi maalum wa kuwapongeza Wanafunzi wa Kidatu cha Nne na Sita kwa kufaulu vizuri katika Mitihani yao ya Taifa na kupata Daraja la Kwanza wakati wa hafla ya chakula maalum kilichoandaliwa kwa ajili yao katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar .(Picha na Ikulu)
WALIMU wa Skuli za Sekondar Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia katika hafla ya kuwapongeza Wanafunzi wa Kidatu cha Nne 2022 na wa Kidatu cha Sita 2023 kwa kufanya vizuri Mitihani yao ya Taifa na kupata Daraja la Kwanza, wakati wa hafla maalum ya kuwapongeza na kujumuika nao katika chakula maalum alichowaandalia katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar .(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwahutubia katika hafla ya kuwapongeza Wanafunzi wa Kidatu cha Nne na Sita wa Skuli za Sekondari Zanzibar, waliofanya vizuri Mitihani yao ya Taifa na kufuuli kwa Daraja la Kwanza, wakati hafla maalum aliyowaandaliwa katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar na (kushoto kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi , na kujumuika nao katika chakula maalum alichowandalia.(Picha na Ikulu)
WANAFUNZI wa Kidatu cha Nne 2022 na wa Kidatu cha Sita 2023 wa Skuli mbalimbali za Sekondari Zanzibar za Serikali na Binafsi, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia katika hafla ya kuwapongeza kwa kufanya vizuri Mitihani yao ya Taifa na kupata Daraja la Kwanza, na kujumuika nao katika chakula maalum alichowaandalia katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar .(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimpongeza na kumkabidhi zawadi Mwanafunzi wa Skuli ya Sekondari ya FEZA Zanzibar Hassan Hafidh Ussi, kwa kufanya vizuri Mtihani wake wa Taifa wa Kidatu cha Sita 2023 kwa kupata Daraja la Kwanza , wakati wa hafla maalum aliyowaandalia kwa ajili ya kuwapongeza na kujumuika nao katika Chakula Maalum alichowaandalia katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar na (kulia kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi .(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi Mwanafunzi wa Skuli ya Sekondari ya Lumumba Zanzibar Asya Hashim Ali, kwa kufanya vizuri Mtihani wake wa Taifa wa Kidatu cha Nne 2022 kwa kupata Daraja la Kwanza , wakati wa hafla maalum aliyowaandalia kwa ajili ya kuwapongeza na kujumuika nao katika Chakula Maalum alichowaandalia katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar 12-11-2023 na (kulia kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe Lela Muhammed Mussa .(Picha na Ikulu)
BAADHI ya Wanafunzi wa Skuli za Sekondari Zanzibar za binafsi na Serikali wakiwa na zawadi zao walizokabidhiwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, wakati wa hafla maalum ya kuwapongeza kwa kufaulu vizuri Mitihani yao ya Taifa, na kujumuika nao katika hafla maalum ya chakula alichowaandalia katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar 12-11-2023.(Picha na Ikulu)