Saturday, December 28

HABARI PICHA: TRA katika matembezi maalumu ya Wiki ya Shukurani kwa walipakodi Pemba.

MKUU wa Wilaya ya Chake Chake Abdalla Rashid Ali, akiwaongoza watendaji wa serikali, Viongozi na wafanyakazi wa TRA Pemba na vikundi vya Mazoezi Kisiwani hapaa, katika matembezi maalumu ya Wiki ya Shukurani kwa walipakodi Pemba, yalioambatana na kauli mbiu “Kodi Yetu, Maendeleo Yetu, Tuwajibike” na kuandaliwa na TRA.
MKUU wa Wilaya ya Chake Chake Abdalla Rasid Ali (katikati), akiwaongoza watendaji wa TRA Pemba, Viongozi wa Serikali wakati wa mazoezi ya Viungo, katika Wiki ya Shukurani kwa walipakodi Pemba, yalioambatana na kauli mbiu “Kodi Yetu, Maendeleo Yetu, Tuwajibike” na kuandaliwa na TRA.
BAADHI ya wafanyakazi wa TRA Pemba wakifanya mazoezi ya Viungo baada ya kumaliza matembezi maalumu yalioanzia Tibirinzi hadi Uwanja wa Gombani, ikiwa ni Wiki ya Shukurani kwa walipakodi Pemba, yalioambatana na kauli mbiu “Kodi Yetu, Maendeleo Yetu, Tuwajibike” na kuandaliwa na TRA.
MKUU wa Wilaya ya Chake Chake Abdalla RasHID Ali, akizungumza na wanavikundi mbali mbali vya Mazoezi Kisiwani Pemba, mara baada ya kumaliza matembezi maalumu ya Wiki ya Shukurani kwa walipakodi Pemba, yalioambatana na kauli mbiu “Kodi Yetu, Maendeleo Yetu, Tuwajibike” na kuandaliwa na TRA.

 

(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)