Saturday, December 28

HABARI PICHA: Ufunguzi wa ofisi ya Wlimu Wilaya ya Chake Chake Pemba.

WAZIRI wa Kilimo, Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo Zanzibar Shamata Shaame Khamis, akikunjua kitambaa kuashiria ufunguzi wa Ofisi ya Elimu Wilaya ya Chake Chake, akiwa na viongozi mbali mbali wa serikali na Chama cha Mapinduzi, ikiwa ni shamra shamra za miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar
WAZIRI wa Kilimo, Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo Zanzibar Shamata Shaame Khamis, akikata utepe kuashiria ufunguzi wa jengo la ofisi ya Elimu Wilaya Chake Chake, akiwa ameambatana na viongozi mbali mbali wa wizara ya elimu, Mkoa na Chama Cha Mapinduzi, ikiwa ni shamra shamra za miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
WAZIRI wa Kilimo, Umwagiliaji,Maliasili na Mifugo Zanzibar Shamata Shaame Khamis, akipata maelezo juu ya Maktaba iliyomo ndani ya Ofisi hiyo ya Elimu Wilaya Chake Chake, kutoka kwa Afisa Mdhamini Wizara hiyo Mohamed Nassor Salim, ikiwa ni shamra shamra za miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar
WAZIRI wa Kilimo, Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo Zanzibar Shamata Shaame Khamis, akizungumza na walimu na wazazi katika viwanja vya Tenis Chake Chake, mara baada ya kuzindua jengo la Ofisi ya Elimu Wilaya hiyo, ikiwa ni shamra shamra za miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar

 

(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)