WAZIRI wa Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar Dkt.Khalid Salum Moh’d, akikunjua kitambaa kuashiria ufunguzi wa hanga la askari wa Zimamoto na Uokozi Finya, kushoto ni Kamishna Mkuu wa Zimamoto na Uokozi Zanzibar Rashid Mzee Abdalla, ikiwa ni shamra shamra za Miaka 60 ya Mapinduzi Zanzibar WAZIRI wa Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar Dkt.Khalid Salum Moh’d, akikunjua kitambaa kuashiria uwekaji wa jiwe la msingi hanga la askari wa Zimamoto na Uokozi Finya, kushoto ni Viongozi wa Mbali mbali wa Serikali, ikiwa ni shamra shamra za Miaka 60 ya Mapinduzi Zanzibar WAZIRI wa Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar Dkt.Khalid Salum Moh’d, akisalimiana na kamishna Mkuu wa Zimamoto na Uokozi Zanzibar Rashid Mzee Abdalla, mara baada ya kuwasili katika mahanga ya kikosi hicho huko Finya, ikiwa ni shamra shamra za Miaka 60 ya Mapinduzi Zanzibar BAADHI ya askari wa viokosi vya ulinzi na Usalama Pemba, wakifuatilia hafla ya ufunguzi na uwekaji wa jiwe la msingi hanga la askari wa Zimamoto na Uokozi Finya Pemba, ikiwa ni shamra shamra za Miaka 60 ya Mapinduzi Zanzibar. BAADHI ya wananchi wa shehia ya Finya Wilaya ya Wete, wakifuatilia ufunguzi wa hanga la askari wa Zimamoto na Uokozi Finya, ikiwa ni shamra shamra za Miaka 60 ya Mapinduzi Zanzibar BAADHI ya wananchi wa shehia ya Finya Wilaya ya Wete, wakifuatilia ufunguzi wa hanga la askari wa Zimamoto na Uokozi Finya, ikiwa ni shamra shamra za Miaka 60 ya Mapinduzi Zanzibar WAZIRI wa Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar Dkt.Khalid Salum Moh’d, akizungumza na askari wa Zimamoto na Uokozi na wananchi wa Shehia ya Finya, mara baada ya kuwasili katika mahanga ya kikosi hicho huko Finya, ikiwa ni shamra shamra za Miaka 60 ya Mapinduzi Zanzibar. .(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA) Share