Friday, January 10

HABARI PICHA: Ufunguzi wa Hanga la KMKM Wete.

WAZIRI wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Lela Mohamed Mussa, akikunjua kitambaa kuashiria ufunguzi wa Hanga la KMKM Wete, kushoto ni viongozi mbali mbali wa serikali na KMKM, ikiwa ni shamra shmra za miaka za miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
WAZIRI wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Lela Mohamed Mussa, akikunjua kitambaa kuashiri ufunguzi wa Ofisi ya Utawala KMKM Wete, akiwa na viongozi mbali mbali wa serikali na kikosi hicho, ikiwa ni shamra shmra za miaka za miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar
WAZIRI wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Lela Mohamed Mussa, akikata utepe kuashiria ufunguzi wa ofisi ya Utawala KMKM Wete, akiwa na viongozi mbali mbali wa serikali, chama Cha Mapinduzi na Naibu Mkuu wa KM KM Kepteni Khatib Khamis Mwadini na Kamishna Mkuu wa Chuo cha Mafunzo Zanzibar Khamis Bakar Khamis, ikiwa ni shamra shmra za miaka za miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
WAZIRI wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Lela Mohamed Mussa, akipata maelezo juu ya ujenzi wa ofisi za utawala KMKM Wete kutoka kwa Injinia Luteni Khamis Said Mohamed, mara baada ya ufunguzi wa ofisi hizo, ikiwa ni shamra shmra za miaka za miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar
WAZIRI wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Lela Mohamed Mussa, katikati akikata utepe kuashiria ufunguzi wa Ofisi ya Kamanda Mkuu wa chou cha Mafunzo Wete, kushoto ni Kamishna Mkuu wa Chuo cha Mafunzo Zanzibar Khamis Bakar Khamis na kulia ni mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Wete Ali Bakari, ikiwa ni shamra shmra za miaka za miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar
WAZIRI wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Lela Mohamed Mussa, akizungumza mara baada ya ufunguzi wa hanga, Ofisi ya Utawala ya KMKM na Ofisi ya Kamanda Mkuu wa chuo cha Mafunzo Wete, ikiwa ni shamra shmra za miaka za miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar
VIONGOZI mbali mbal wa Serikali Kisiwani Pemba, wakifuatilia hafla ya ufunguzi wa hanga, Ofisi ya Utawala ya KMKM na Ofisi ya Kamanda Mkuu wa chuo cha Mafunzo Wete, ikiwa ni shamra shmra za miaka za miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

 

(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)