Thursday, January 16

Uzinduzi wa mradi wa kuhamasisha Vijana na wanawake kutunza Amani Mkoa wa Kusini Pemba,

VIJANA kutoka Mkoa wa Kusini Pemba, wakifuatilia kwa makini uzinduzi wa mradi wa kuhamasisha Vijana na wanawake kutunza Amani ndani ya Mkoa huo, mradi huo unaotekelezwa na PECEO kwa kushirikiana na Search for Common Ground, Foundation For Civil Society kwa ufadhili wa Ummoja wa Nchi za Ulaya.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA) 

MRATIB wa mradi wa Kuhamasisha Vijana na Wanawake kutunza Amani Mkoa wa Kusini Pemba na katibu wa PECEO Juma Said, akitoa taarifa fupi ya mradi huo unaotekelezwa na PECEO kwa kushirikiana na Search for Common Ground, Foundation For Civil Society kwa ufadhili wa Ummoja wa Nchi za Ulaya.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA) 

MKUU wa Polisi Wilaya ya Chake Chake Akama Mohamed Shaaban, akitoa nasaha zake wakati wa uzinduzi wa mradi wa kuhamasisha Vijana na wanawake kutunza Amani Mkoa wa Kusini Pemba, mradi huo unaotekelezwa na PECEO kwa kushirikiana na Search for Common Ground, Foundation For Civil Society kwa ufadhili wa Ummoja wa Nchi za Ulaya.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA) 

MKUU wa Mkoa wa Kusini Pemba Mattar Zahor Massoud, akizungumza na vijana na wananwake mara baada ya uzinduzi wa mradi wa kuhamasisha Vijana na Wanawake kutunza Amani Mkoa wa Kusini Pemba, mradi huo unaotekelezwa na PECEO kwa kushirikiana na Search for Common Ground, Foundation For Civil Society kwa ufadhili wa Ummoja wa Nchi za Ulaya.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA) 

WASANII wa kikundi cha PECODE kutoka Ngwachani wakitoa moja ya burudani za kuhamasisha suala zima la Amani, wakati wa uzinduzi wa mradi wa kuhamasisha Vijana na Wanawake Kutunza Amani Mkoa wa Kusini Pemba, mradi huo unaotekelezwa na PECEO kwa kushirikiana na Search for Common Ground, Foundation For Civil Society kwa ufadhili wa Ummoja wa Nchi za Ulaya.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)