Wednesday, October 30

ZRB yawataka wananchi kudai risiti

 

BODI ya mapato zanzibar ZRB imewataka wananchiu kudai risiti baada ya kufanya matumizi yao,  kwani ni uthibitisho wa kutosha kuwa mali ulionayo ni yako au unaimiliki kihalali.

bodi hiyo imesema unapodai risiti unaisaidia serikali kupa kiwango cha Kodi kinachostahiki kutokana na mauzo hayo.

aidha imesema risiti inakupunguzia usumbufu kutoka katika vyombo vya dola kama vile Polisi na  Mahakamani inapotokea haja ya kufanya upekuzi kwa mali ambayo imeibiwa.