Wednesday, October 30

VIDEO:SMT na SMZ za kutana kujadili changamoto za maendeleo ya mifugo nchini

NA JUMA MUSSA –PEMBA.

Naibu Katibu Mkuu Wiraza ya mifugo  Tanzania bara Amos Kurwa  na Katibu Mkuu wizara ya kilimo umwagiliaji  maliasili na mifugo  Zanzibar  bibi Mariam Sadalla wamekutana na wataalamuwa mifugo nchini kujadili umuhimu wa kushirikiana   ili  kupata utaalamu utakaosaidia  kufikia maendeleo ya mifugo nchini

Mkutano huo umefanyika kisiwani Pemba wiki hii

KUANGALIA VIDEO YA HABARI HII BOFYA HAPO CHINI.