Wednesday, October 30

HABARI PICHA: ZLSC tawi la Pemba waandaa kongamano la siku 16 za wanaharakati wa kupinga ukatili wa kijinsi skuli ya Msingi Madungu.

WANAFUNZI wa Skuli ya Madungu Msingi Wanaume, wakiwa wameshika moja ya mabango wakati wa maandamano ya wanafunzi hao, kabla ya kuanza kwa kongamano la siku 16 za uwanaharakati wa kupiga ukatili wa kijinsi, lililoandaliwa na Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar tawi la Pemba
BAADHI ya wanafunzi wa skuli ya Madungu Msingi, wakiwa wameshikilia moja ya mabando ya kupiga udhalilishaji likisomeka, ukatili wa kijinsia unachelewesha Tanzania ya Viwanda, wakati kongamano la siku 16 za uwanaharakati wa kupiga ukatili wa kijinsi, lililoandaliwa na Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar tawi la Pemba
MWANASHERIA kutoka Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar Siti Habib Mohamed, akimsikiliza mmoja ya wanafunzi wa skuli ya Madungu Msingi Salma Hassan Abeid, wakati wa kongamano la siku 16 za uwanaharakati wa kupiga ukatili wa kijinsi, lililoandaliwa na Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar tawi la Pemba.
WANAFUNZI wa Skuli ya Madungu Msingi Wilaya ya Chake Chake, wakiwa wamekunja ngumi mkononi kuashiria kupiga vita vitendo vyote vya udhalilishaji wanavyofanyiwa watoto, wakati wa kongamano la siku 16 za uwanaharakati wa kupiga ukatili wa kijinsi, lililoandaliwa na Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar tawi la Pemba
MWANASHERIA kutoka Kituo cha huduma za sheria Zanzibar Tawi la Pemba, Siti Habib Mohamed akimkabidhi vitabu na majarida mbali mbali mwanafunzi Hamil Nassor Juma, baada ya kujibu mwasuwali ipasavyo aliokuwa akiulizwa, wakati wa kongamano la siku 16 za uwanaharakati wa kupiga ukatili wa kijinsi, lililoandaliwa na Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar tawi la Pemba
MWANASHERIA kutoka ZLSC Siti Habib Mohamed, akimkabidhi baadhi yvitabu, majarida mmoja ya wanafunzi wa skuli ya Madungu Msingi, wakati wa kongamano la siku 16 za uwanaharakati wa kupiga ukatili wa kijinsi, lililoandaliwa na Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar tawi la Pemba
MWANASHERIA kutoka cha huduma za sheria Zanzibar tawi la Pemba, Siti Habibu Mohamed, akizungumza na wanafunzi wa skuli ya madungu Msingi, wakati wa kongamano la siku 16 za uwanaharakati wa kupiga ukatili wa kijinsi, lililoandaliwa na Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar tawi la Pemba