WAZIRI wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi, Rahma Kassim Ali akizungumza na akisikiliza jambo wakati alipokutana na wadau wa usafiri wa baharini katika kikao kilichojadili namna bora ya kusafirisha abiria katika vyombo hivyo, kikao hicho kilifanyika katika ukumbi wa Mamkala ya usafiri wa baharini Zanzibar (ZMA), uliopo Malindi Jijini Zanzibar.
WAZIRI wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi, Rahma Kassim Ali akizungumza na wadau wa usafiri wa baharini katika kikao kilichojadili namna bora ya kusafirisha abiria katika vyombo hivyo, kikao hicho kilifanyika katika ukumbi wa Mamkala ya usafiri wa baharini Zanzibar (ZMA), uliopo Malindi Jijini Zanzibar jana
WAZIRI wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi, Rahma Kassim Ali akizungumza na wadau wa usafiri wa baharini katika kikao kilichojadili namna bora ya kusafirisha abiria katika vyombo hivyo, kikao hicho kilifanyika katika ukumbi wa Mamkala ya usafiri wa baharini Zanzibar (ZMA), uliopo Malindi Jijini Zanzibar.
MKURUGENZI wa Kampuni ya Ikraam Sealine Co Ltd, Abdulghafour Ismail akichangia katika kikao cha wadau wa usafiri baharini kilichojadili namna bora ya kusafirisha abiria katika vyombo hivyo, kikao hicho kilifanyika katika ukumbi wa Mamkala ya usafiri wa baharini Zanzibar (ZMA), uliopo Malindi Jijini Zanzibar jana.
WADAU mbalimbali wa usafiri baharini wakiwa katika kikao kilichojadili namna bora ya kusafirisha abiria katika vyombo hivyo, kikao hicho kilifanyika katika ukumbi wa Mamkala ya usafiri wa baharini Zanzibar (ZMA), uliopo Malindi Jijini Zanzibar
WADAU mbalimbali wa usafiri baharini wakiwa katika kikao kilichojadili namna bora ya kusafirisha abiria katika vyombo hivyo, kikao hicho kilifanyika katika ukumbi wa Mamkala ya usafiri wa baharini Zanzibar (ZMA), uliopo Malindi Jijini Zanzibar
(PICHA NA HAROUB HUSSEIN).