Saturday, January 18

Ziara ya Rais Dk Hussein Mwinyi UAE: Atembelea maonyesho ya Dubai Expo 2020

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Afisa wa Polisi Sami Humaid alipotembelea Kituo cha Polisi “Smart Police Station “ katika viwanja vya maonesho ya Dubai Expo 2020, chenye kutoa huduma kupitia njia ya mtandao.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, akimsikiliza Afisa wa Polisi wa Kituo cha Polisi kinachotowa huduma kwa Wananchi kupitia njia ya mtandao “Smart Police Station” Sami Humaid (kulia kwa Rais) akitowa maelezo yamashine inayotumika kuwasilisha malalalamiko ya Wananchi, wakati alipotembelea maonesho ya Dubai Expo 2020.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzin Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipata maelezo ya kifaa maalum kinachotumika katika kuwasilisha kesi kupitia njia ya mtandao.”Smart Police Station”  kutoka kwa Afisa wa Polisi Sami Humaid, wakati akitembelea maonesho ya Dubai Expo 2020.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja wa Maofisa wa Polisi wa Kituo cha “Smart Police Station” baada ya kutembelea Kituo hicho kinachotowa huduma zake kupokea malalamiko ya Wananchi kupitia kifaa maalum kwa njia ya mtandaoa na (kulia kwa Rais) Balozi wa Tanzania U.A.E Balozi Mohammed Abdalla Mtinga  na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Kituo hicho na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe.Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk, wakiwa na Maofisa wa Polisi wa “Smart Police Station”.(Picha na Ikulu)