Thursday, January 16

HABARI PICHA: NMB wakutana na Wafanyabiashara wanaotumia huduma za NMB Pemba

KAIMU Meneja wa Biashara za NMB Zanzibar Naima Said Shaame, akizungumzakatika mkutano wa Wafanyabiashara wanaotumia huduma za NMB Pemba, mkutano uliofanyika mjini Chake Chake.
MENEJA Mwandamizi kitengo cha Biashara NMB Christopher Mgani, akifungua mkutano wa wafanyabaishara wanaotumia huduma za NMB Pemba, mkutano uliofanyika mjini Chake Chake
MDAU wa NMB kutoka Mahakama Luciano Makoi Nyengo akitoa ushuhuda juu ya ujazaji wa fomu za mikopo za NMB kwa wafanyabiashara pale wanapotaka kwenda kukopa, katika mkutano uliofanyika mjini Chake Chake
KATIBU wa klabu ya wafanyabiashara wa NMB Pemba Rabia Omar Said, akizungumza katika mkunao wa wafanyabiashara wanaotumia huduma za NMB Pemba, mkutano uliofanyika mjini Chake Chake
MFANYABIASHARA kutoka Wete Said Ali Mussa, akiuliza swali katika mkutano wa wafanyabiashara wanaotumia huduma za NMB Pemba, mkutano uliofanyika mjini Chake Chake.
MFANYABIASHARA Chake Chake Rabia Omar Said, akiuliza swali katika mkutano wa wafanyabiashar wanaotumia huduma za NMB Pemba, mkutano uliofanyika mjini Chake Chake
KAIMU Meneja wa biashara za NMB Zanzibar Naima Said Shaame, akiangalia hati ya haki ya matumizi ya ardhi wakati wa uwasilishaji wa mara juu ya ardhi, katika mkutano wa wafanyabiashar uliofanyika mjini Chake Chake
MENEJA wa NMB Tawi la Pemba Hamadi Mussa Msafiri, akiangalia hati ya haki ya matumizi ya ardhi wakati wa uwasilishaji wa mara juu ya ardhi, katika mkutano wa wafanyabiashar uliofanyika mjini Chake Chake.
AFISA Usajili Ardhi Yussuf Hamad Kombo, akionesha kadi ambayo hupatiwa mwananchi baada ya eneo lake la ardhi kusajiliwa serikalini, katika mkutano wa wafanyabiashara wanaotumia huduma za NMB Pemba, mkutano uliofanyika mjini Chake Chake
MFANYABIASHARA kutoka Wesha Naima Mohamed, akiuliza swali katika mkutano wa wafanyabiashara wanaotumia huduma za NMB Pemba, mkutano uliofanyika mjini Chake Chake.

(PICHA NA ABDI SULEIMAN,PEMBA)