Thursday, January 16

HABARI PICHA: Milele Zanzibar Foundation yatoa mafunzo ya Jifunze kwa hatua kwa walimu wa Skuli za Msingi Kisiwani Pemba.

WALIMU wa Skuli za Msingi Kisiwani Pemba, wakishiriki katika mafunzo ya Jifunze kwa hatua yaliyofanyika katika kituo Cha science Pujini Wilaya ya Chake Chake Pemba, mafunzo yaho yaliyotolewa na taasisi ya Milele Zanzibar Foundation
MRATIB wa Milele Zanzibar Foundation Abdalla Said Abdalla, akizungumza akitoa juu ya mafunzo ya Jifunze jinsi yaliyoandaliwa taasisi ya MZF kwa walimu wa skuli za msingi, huko katika kituo Cha science Pujini Wilaya ya Chake Chake Pemba chini ya ufadhili wa MZF

 

MRATIBU wa Skuli za Sekondari Pemba Suleiman Hamad Suleiman, akifungua mafunzo ya Siku 10 kwa walimu wa Skuli za Msingi Kisiwani Pemba, juu ya Jifunze kwa hatua ambapo mafunzo hayo yamefanyika katika kituo Cha science Pujini Wilaya ya Chake Chake Pemba
MRATIBU wa Miradi kutoka Milele Foundation Safia Mkubwa Abdalla, akizungumza neno wakati wa mafunzo ya ‘Jifunze kwa hatua’ yaliyoandaliwa na taasisi ya Milele Foundation huko katika kituo Cha science Pujini Wilaya ya Chake Chake Pemba
MENEJA wa Miradi ya elimu kutoka taasisi ya Milele Zanzibar Foundation Eshe Haji Ramadhan, akizungumza wakati wa ufunguzi wa mafunzo kwa walimu wa Skuli za Msingi wa Kisiwani Pemba, huko katika kituo Cha science Pujini Wilaya ya Chake Chake Pemba.