Monday, November 25

HABARI KATIKA PICHA:PPC yafika Mtambwe Kusini kuhamasisha jamii juu ya umuhimu wa utunzaji wa Amani na Utulivu nchini

WASANII kutoka kikundi cha Maigizo Wete, wakiongozwa na Salumu Abdalla (Kachara) wakionyesha moja ya igizo lao juu ya umuhimu wa kudumisha Amani na utulivu ya nchi, kwa wananchi wa shehia ya Mtambwe Kinazini Wilaya ya Wete, ikiwa ni utekelezaji wa mradi wa SAUTI YANGU, AMANI YANGU, HATMA YANGU, unaotekelezwa na wakishirikiana na Foundation for civil society na Search for comon groud, kwa ufadhili wa umoja wa nchi za ulaya PPC.(PICHA NA ABDI SULEIMAN)
MMOJA ya wananchi wa Kijiji Cha Mtambwe Kinazini Wilaya ya Wete Seif Salum Abdalla, akitoa mchango wake kwenye mkutano wa uhamasishaji wa jamii juu ya umuhimu wa kudumisha Amani na utulivu ya nchi, ikiwa ni utekelezaji wa mradi wa SAUTI YANGU, AMANI YANGU, HATMA YANGU, unaotekelezwa na (PPC) wakishirikiana na Foundation for civil society na Search for common groud, kwa ufadhili wa umoja wa nchi za ulaya.(PICHA NA ABDI SULEIMAN)
WAJUMBE kutoka PPC Mchanga Haroub (kushoto) na Hadija Kombo (kulia) wakizungumza na mmoja ya wananchi wa Kijiji cha Mtambwe Kinazini Wilaya ya Wete Daina Hamad (katikati), wakati wa mkutano wa uhamasishaji wa jamii juu ya umuhimu wa kudumisha Amani na utulivu ya nchi, ikiwa ni utekelezaji wa mradi wa SAUTI YANGU, AMANI YANGU, HATMA YANGU, unaotekelezwa na (PPC) wakishirikiana na Foundation for civil society na Search for common groud, kwa ufadhili wa umoja wa nchi za ulaya.(PICHA NA ABDI SULEIMAN)
WANANCHI wa shehia wa Mtambwe Kinazini Wilaya ya Wete, wakifuatikia kwa makini mkutano wa uhamasishaji wa jamii juu ya umuhimu wa kudumisha Amani na utulivu ya nchi, ikiwa ni utekelezaji wa mradi wa SAUTI YANGU, AMANI YANGU, HATMA YANGU, unaotekelezwa na (PPC) wakishirikiana na Foundation for civil society na Search for common groud, kwa ufadhili wa umoja wa nchi za ulaya.(PICHA NA ABDI SULEIMAN)
KATIBU wa Pemba Press Klabu Ali Mbarouk Omar, akizungumza katika mkutano wa uhamasishaji jamii juu ya umuhimu wa kudumisha Amani na utulivu ya nchi, ikiwa ni utekelezaji wa mradi wa SAUTI YANGU, AMANI YANGU, HATMA YANGU, unaotekelezwa na (PPC) wakishirikiana na Foundation for civil society na Search for common groud, kwa ufadhili wa umoja wa nchi za ulaya.(PICHA NA ABDI SULEIMAN)


Warning: file_get_contents(): http:// wrapper is disabled in the server configuration by allow_url_fopen=0 in /data/40/5/71/99/5397425/user/6768456/htdocs/portal/wp-content/plugins/xt-visitor-counter/xt-visitor-counter.php on line 48

Warning: file_get_contents(http://api.xtrsyz.org/xt-visitor-counter/default.php?domain=www.pembapress.club&time=1732532111): Failed to open stream: no suitable wrapper could be found in /data/40/5/71/99/5397425/user/6768456/htdocs/portal/wp-content/plugins/xt-visitor-counter/xt-visitor-counter.php on line 48