Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Othman Masoud Othman, amesema Utafiti wa Viashiria na matokeo ya Ukimwi Tanzania ni muhimu kwani utawezesha Serikali na Wadau tofauti kupata hali halisi ya mwenendo wa maradhi hayo na kusaidia kuweka mikakati ya kwenda sambamba na uhalisia katika kupambana na tatizo hilo. Share