Monday, November 25

HABARI PICHA: Rais Mstaafu Dk Shein afungua hoteli mpya ya nyota tano – Toa Hotel Pongwe

Rais Mstaafu wa Zanzibar awamu ya saba Dk Ali Mohamed Shein (kushoto) akikunjuwa kitambaa kuashiria ufunguzi wa Hoteli ya Nyota Tano (TOA HOTEL)Pongwe Mkoa wa Kusini Wilaya ya Kati Unguja .Ikiwa ni Shamra shamra za miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Rais Mstaafu wa Zanzibar awamu ya saba Dk Ali Mohamed Shein (Katikati) akikata utepe kuashiria ufunguzi wa Hoteli ya Nyota Tano (TOA HOTEL) Pongwe Mkoa wa Kusini Wilaya ya Kati Unguja Ikiwa ni Shamra shamra za miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Rais Mstaafu wa Zanzibar awamu ya saba Dk Ali Mohamed Shein akipata maelezo kutoka kwa Meneja wa Hoteli ya Nyota Tano(TOA HOTEL) Ally Mohungoo wakati akitembelea hoteli hio baada ya kuifungua Pongwe Mkoa wa Kusini Wilaya ya Kati Unguja .Ikiwa ni Shamra shamra za miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Baadhi ya Wageni Waaalikwa waliohudhuria katika hafla ya Ufunguzi wa Hoteli ya TOA (TOA HOTEL) Pongwe Mkoa wa Kusini Wilaya ya Kati Unguja Ikiwa ni Shamra shamra za miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Meneja wa Hoteli ya Nyota Tano (TOA HOTEL) Ally Mohungoo  katika hafla ya Ufunguzi wa Hoteli hio iliopo Pongwe Mkoa wa Kusini Wilaya ya Kati Unguja Ikiwa ni Shamra shamra za miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Kazi Uchumi na Uwekezaji Mudrik Ramadhan Soraga akitoa hotuba ya makaribisho kwa Mgeni Rasmi katika hafla ya Ufunguzi wa Hoteli ya Nyota Tano (TOA HOTEL)Pongwe Mkoa wa Kusini Wilaya ya Kati Unguja Ikiwa ni Shamra shamra za miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Rais Mstaafu wa Zanzibar awamu ya saba Dk Ali Mohamed Shein akitoa Hotuba katika Hafla ya Ufunguzi wa Hoteli ya Nyota Tano (TOA HOTEL) Pongwe Mkoa wa Kusini Wilaya ya Kati Unguja Ikiwa ni Shamra shamra za miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar

 

Rais Mstaafu wa Zanzibar awamu ya saba Dk Ali Mohamed Shein akisisitiza jambo wakati akitoa Hotuba katika Hafla ya Ufunguzi wa Hoteli ya Nyota Tano (TOA HOTEL) Pongwe Mkoa wa Kusini Wilaya ya Kati Unguja .Ikiwa ni Shamra shamra za miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR