Saturday, January 18

HABARI PICHA: Rais Mstaafu Dk Karume afungua Tamasha la Tisa la Biashara viwanja vya Maisara

Rais Mstaafu wa Zanzibar awamu ya Sita DK ,Amaan Abeid Karume akikata Utepe kuashiria Ufunguzi wa Tamasha la Tisa la Biashara linalofanyika katika Viwanja vya Maisara .Ikiwa shamra shamra za miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Rais Mstaafu wa Zanzibar awamu ya Sita DK, Amaan Abeid Karume akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Masoko wa Azania Benk wakati alipolitembelea Banda hilo katika hafla ya Ufunguzi wa Tamasha la Tisa la Biashara linalofanyika katika Viwanja vya Maisara Ikiwa shamra shamra za miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Rais Mstaafu wa Zanzibar awamu ya Sita DK,Amaan Abeid Karume akipata maelezo kutoka kwa Bi Lulu Adam Masanja kutoka Kitengo cha Taarifa za Biashara (TANTRADE)wakati alipolitembelea Banda hilo katika hafla ya Ufunguzi wa Tamasha la Tisa la Biashara linalofanyika katika Viwanja vya Maisara .Ikiwa shamra shamra za miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Rais Mstaafu wa Zanzibar awamu ya Sita DK ,Amaan Abeid Karume akitoa Hotuba katika hafla ya Ufunguzi wa Tamasha la Tisa la Biashara linalofanyika katika Viwanja vya Maisara .Ikiwa shamra shamra za miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Rais Mstaafu wa Zanzibar awamu ya Sita DK, Amaan Abeid Karume akisisitiza jambo wakati akitoa Hotuba ya Ufunguzi wa Tamasha la Tisa la Biashara linalofanyika katika Viwanja vya Maisara .Ikiwa shamra shamra za miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Baadhi ya Wageni Waalikwa waliohudhuria katika Ufunguzi wa Tamasha la Tisa la Biashara linalofanyika katika Viwanja vya Maisara .Ikiwa shamra shamra za miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Rais Mstaafu wa Zanzibar awamu ya Sita DK,Amaan Abeid Karume akitoa zawadi kwa Kampuni ya Azania Benk kwa Ushiriki wao na Mchango wa Mkubwa katika Ufunguzi wa Tamasha la Tisa la Biashara linalofanyika katika Viwanja vya Maisara .Ikiwa shamra shamra za miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.