Saturday, January 18

HABARI PICHA: Rais Dk Hussein Mwinyi afungua Jengo Jipya la Hospitali ya Wilaya Kitogani Mkoa wa Kusini Unguja, lililojengwa kwa Fedha za UVIKO -19

MUONEKANO wa Jengo Jipya la Hospitali ya Wilaya Kitogani Mkoa wa Kusini Unguja, lililojengwa kwa Fedha za UVIKO -19, lililofunguliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, ikiwa ni shamrashamra za kusherehekea Maadhimisho ya Miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi akiondoa pazia kuashiria kuweka Jiwe la Msingi la ufunguzi wa Jengo Jipya la Hospitali ya Wilaya –Kitogani Mkoa wa Kusini Unguja leo 7-1-2023, lililojengwa kupitia fedha za UVIKO-19 ikiwa ni shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, na (kushoto )Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi akisoma maelezo ya Jiwe la Msingi la Ufunguzi wa Jengo la Hospitali ya Wilaya –Kitogani Mkoa wa Kusini Unguja iliyojengwa kwa fedsha za UVIKO-19, baada ya kuifungua Hospitali hiyo leo 7-1-2023,ikiwa ni shamrashamra za Maadhimisho ya sherehe za Miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kuashiria kulifungua Jengo Jipya la Hospitali ya Wilaya –Kitogani Mkoa wa Kusini Unguja leo 7-1-2023 lililojengwa kwa fedha za UVIKO-19 na (kushoto kwa Rais) Mama Mariam Mwinyi,Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na (kulia kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla na Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Nassor Ahmed Mazrui, ikiwa ni shamrashamra za Maadhimisho ya sherehe za Miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mhandisi Ali Said akitowa maelezo ya ujenzi wa Hospitali hiyot, wakati akitembelea jengo jipya la Hospitali ya Wilaya –Kitogani Mkoa wa Kusini Unguja, baada ya kulifungua rasmin leo 7-1-2023, ikiwa ni shamrashamra za sherehe za Maadhimisho ya Miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, na (kulia kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na (kushoto kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla na Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Nassor Ahmed Mazrui.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi, akizungumza na Waziri wa Afya Zanzibar Mhe.Nassor Ahmed Mazrui wakati akitembelea moja ya Wodi ya Watoto katika Jengo la Hospitali ya Wilaya –Kitogani Mkoa wa Kusini Unguja, baada ya kuifungua rasmin leo 7-1-2023, iliyojengwa kwa Fedha za UVIKO-19 , ikiwa ni shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akitembelea Jengo Jipya la Hospitali ya Wilaya – Kitogani Mkoa wa Kusini Unguja baada ya kulifungua rasmin leo 7-1-2023, ikiwa ni shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, na (kulia kwa Rais) Waziri wa Afya Zanzibar Mhe.Nassor Ahmed Mazrui na (kushoto kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi, wakitembelea moja ya chumba cha upasuaji katika Hospitali ya Wilaya –Kitogani Mkoa wa Kusini Unguja, iliyojengwa kwa fedha za UVIKO-19, ikiwa ni shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Waziri wa Afya Zanzibar Mhe.Nassor Ahmed Mazrui, baada ya kulizindua Gari la Wagonjwa kwa ajili ya matumizi ya Hospitali ya Wilaya –Kitogani Mkoa wa Kusini Unguja, ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 59 ya Mapinduzi ya Matukufu ya Zanzibar.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akitembelea majengo ya Hospitali ya Wilaya –Kitogani Mkoa wa Kusini Unguja, baada ya kuifungua rasmin leo 7-1-2023 Hospitali hiyo iliyojengwa kwa fedha za UVIKO-19, na (kulia kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla na Naibu Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Hassan Khamis Hafidh na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Afya Zanzibar Mhe.Nassor Ahmed Mazrui, ikiwa ni shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.(Picha na Ikulu)