Saturday, January 18

FEI TOTO BADO NI MCHEZAJI WA YANGA:TFF

KAMATI ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) imeamua kwamba kiungo Feisal Salum Abdallah bado ni mchezaji halali wa Yanga kwa mujibu wa mkataba.