MKURUGENZI Mtendaji wa chama cha waandishi wa habari za Mazingira Tanzania(JET) John Chikomo, akifungua mafunzo kwa waandishi wa habari za Mazingira Tanzania kupitia mradi wa USAID Tuhifadhi Maliasili, unaotekelezwa na JET Tanzania kwa ufadhili wa shirika la misaada la watu wa Marekani (USAID) WAANDISHI wa Habari za Mazingira Tanzania, wakiwa katika mafunzo uhifadhi wa wanyamapori na Bioanuwai, yalioandaliwa na chama cha waandishi wa habari za Mazingira Tanzania(JET) kupitia mradi wa USAID Tuhifadhi Maliasili, unaotekelezwa na JET Tanzania kwa ufadhili wa shirika la misaada la watu wa Marekani (USAID) MWANDISHI wa Habari kutoka Gazeti la Nipashe Zanzibar Rahma Suleiman, akichangia mada katika mafunzo uhifadhi wa wanyamapori na Bioanuwai, yalioandaliwa na chama cha waandishi wa habari za Mazingira Tanzania(JET) kupitia mradi wa USAID Tuhifadhi Maliasili, unaotekelezwa na JET Tanzania kwa ufadhili wa shirika la misaada la watu wa Marekani (USAID) MENEJA Ushirikishwaji wa sekta binafsi mradi wa Tuhifadhi Maliasili Tanzania Dr.Elikana Kalumanga, akimsikiliza mwandishi wa habari wa Gazeti la Nipashe Jenifer Gilla, akichangia mada katika mafunzo uhifadhi wa wanyamapori na Bioanuwai, yalioandaliwa na JET kupitia mradi wa USAID Tuhifadhi Maliasili, unaotekelezwa na JET Tanzania kwa ufadhili wa shirika la misaada la watu wa Marekani (USAID) MENEJA ufuatiliaji na Tathmini kutoka mradi wa USAID Tuhifadhi Maliasili Tanzania John Steven Noronha, akizungumza na waandishi wa Habari za Mazingira Tanzania, katika mafunzo uhifadhi wa wanyamapori na Bioanuwai, yalioandaliwa na JET kupitia mradi wa USAID Tuhifadhi Maliasili, unaotekelezwa na JET Tanzania kwa ufadhili wa shirika la misaada la watu wa Marekani (USAID) PICHA ZOTE NA ABDI SULEIMAN, BAGAMOYO Abdi Juma Suleiman Journalist/Photographer Zanzibarleo newspaper Chake Chake -Pemba +255774565947 or +255718968355 abdisuleiman33@gmail.com Share