MWENYEKITI wa Klabu ya waandishi wa habari Pemba (PPC)Bakar Mussa Juma, alitoa salamu za UTPC kwa wanachama wa klabu hiyo, wakati wa Maadhimisho ya siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Mkutano uliofanyika Mjini Chake na kuandaliwa na PPC kwa ufadhili wa Umoja wa vilabu vya waandishi wa Habari Tanzania(UTP)na Mamlaka ya Mapato Zanzibar (ZRA). BAADHI ya wanachama wa PPC Kisiwani Pemba, wakifuatilia ufunguzi wa maadhimisho ya siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani, Maadhimisho hayo yaliyofanyika mjini Chake Chake na kuandaliwa na PPC kwa ufadhili wa Umoja wa vilabu vya waandishi wa Habari Tanzania(UTPC)na Mamlaka ya Mapato Zanzibar (ZRA). AFISA Mdhamini Wizara ya Maendeleo ya Jamii Jinsia, Wazee na Watoto Pemba Hafidhi Ali Mohamed, akifungua maadhimisho ya siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani, maadhimisho hayo yaliyofanyika mjini chake chake na kuandaliwa na PPC kwa ufadhili wa Umoja wa vilabu vya waandishi wa Habari Tanzania(UTPC)na Mamlaka ya Mapato Zanzibar (ZRA). KATIBU wa Klabu ya waandishi wa habari Pemba Ali Mbarouk Omar, akitoa Ufafanuzi wa mambo mbali mbali wakati wa maadhimisho ya siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani, maadhimisho hayo yaliyofanyika mjini chake chake na kuandaliwa na PPC kwa ufadhili wa Umoja wa vilabu vya waandishi wa Habari Tanzania(UTPC)na Mamlaka ya Mapato Zanzibar (ZRA). AFISA TEHAMA kutoka Mamlaka ya Mapato Zanzibar Ofisi ya Pemba (ZRA) Khairat Said Soud, akiwasilisha mada juu ya mifumo ya ukusanyaji kodi kwa njia za kieletroniki, kwa waandishi wa habari wakati wa maadhimisho ya siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani, maadhimisho hayo yaliyofanyika mjini chake chake na kuandaliwa na PPC kwa ufadhili wa Umoja wa vilabu vya waandishi wa Habari Tanzania (UTPC)na Mamlaka ya Mapato Zanzibar (ZRA). (PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA). Share