RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi, akiwa na viongozi mbali mbali wa serikali, akikata utepe kuashiria uzinduzi wa soko la wajasiriamali Michekaeni Wilaya ya Chake Chake RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Mwinyi, akiwa na Mama Mariyam Mwinyi wakipokea zawadi ya madafu kutoka kwa Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mattar Zahor Massoud, kwa niaba ya wananchi wa Mkoa huo RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Mwinyi, akiwa na Mama Mariyam Mwinyi wakiangalia moja ya unga wa lishe unaotengenezwa na wajasiriamali wa Chake Chake, wakati wa hafla ya ufunguzi wa soko la wajasiriamali lililopo Michakaeni MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariyam Mwinti akipokea zawadi ya Mkoba wa Ukili kutoka kwa Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mattar Zahor Massoud, kwa niaba ya wananchi wa Mkoa huo, wakati wa hafla ya uzinduzi wa soko la wajasiriamali Wilaya ya Chake Chake RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Mwinyi, akichangua viatu kutoka kwa mmoja ya wajasiriamali wa bidhaa hizo, wakati alipokua akikagua bidhaa za wajasiriamali mara baada ya kulifungua soko la wajasiriamali Wilaya ya Chake Chake. RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Mwinyi, akizungumza na wajasiriamli wa Wilaya ya Chake Chake mara baada ya kufungua rasmi soko lao huko Michakaeni. RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Mwinyi na mke wake Mama mariyam Mwinyi, wakichangua viatu kutoka kwa mmoja ya wajasiriamali wa bidhaa hizo na kununua, ndani ya soko la wajasiriamali Wilaya ya Chake Chake (PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA) Share