Thursday, January 16

HABARI PICHA: Dk.Hussein Mwinyi,afungua Hospital ya Wilaya ya Wete Kinyasini na stendi ya magari Konde.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi, akipokea taarifa ya utekelezaji ya Mkoa wa Kaskazini Pemba, kutoka kwa Mkuu wa Mkoa wa huo Salama Mbarouk Khatib, huko kifumbi kai Wete
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi, akimsikiliza kwa makini Daktari bingwa wa masuala ya upasuaji Mishipa Dk.Ramadhani Faki Ali, wakati alipokua akikagua chumba cha upasuaji katika Hospitali ya Wilaya ya Wete Kinyasini
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi, akiwa na mama Mariyam Mwinyi na Viongozi mbali mbali wa Serikali akikata utepe kuashiria ufunguzi wa stend ya Magari Konde Wilaya ya Micheweni.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi, akizungumza na wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Pemba, mara baada ya kuizindua rasmi Stendi ya Magari Konde

 

(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)