RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi, akipata maelezo juu ya ujenzi wa skuli ya Ghorofa Tatu Maziwang’ombe Wilaya ya Micheweni, inayojengwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, kutoka kwa mkandarasi wa ZBA(hayupo pichani),kulia yake ni Mama Mariyama Mwinyi, mara baada ya kuwasili katika skuli hiyo ikiwa ni shamrashamra za miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwainyi, akikagua ujenzi wa skuli ya Ghorofa tatu Maziwang’ombe inayojengwa na serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, mara baada ya kuwasili katika skuli hiyo ikiwa ni shamrashamra za miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar. RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi, akikunjua kitambaa kuashiria uwekaji wa jiwe la msingi skuli ya Ghorofa Tatu Maziwang’ombe, akiwa na Mama Mariyam Mwinyi, Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Lela Mohamed Mussa, ikiwa ni shamrashamra za miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar RAIS wa Zanzibar na mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi, akipata maelezo juu ya uwanja wa mpira wa Basketbool uliojenga na mkandarasi wa skuli hiyo ya Ghorofa tatu Maziwang’ombe Wilaya ya Micheweni, kutoka kwa injia wa ZBA Said Maliki, wakati alipokua akikagua skuli hiyo ikiwa ni shamrashamra za miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar. RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi, akipata maelezo juu ya maabara ya kisasa iliyomo ndani ya skuli ya Ghorofa Maziwang’ombe Wilaya ya Micheweni, wakati alipokua akikagua skuli hiyo ikiwa ni shamrashamra za miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar BAADHI ya maafisa wadhamini kutoka Taasisi mbali mbali za Serikali Pemba, wakifuatilia hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi skuli ya Ghorofa Tatu Maziwang’ombe Wilaya ya Micheweni, ikiwa ni shamrashamra za miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar BAADHI ya Viongozi wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Kaskazini Pemba, wakifuatilia hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi skuli ya Ghorofa Tatu Maziwang’ombe Wilaya ya Micheweni, ikiwa ni shamrashamra za miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar. RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akizungumza na wananchi wa Maziwang’ombe Wilaya ya Micheweni, mara baada ya uwekaji wajiwe la msingi Skuli ya Ghorofa Tatu, ikiwa ni shamrashamra za miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi, akiwa Mama Mariyam Mwinyi katika picha ya pamoja na Watoto wa Wilaya ya Micheweni, mara baada ya uwekaji wa jiwe la msingi skuli ya Sekondari Maziwang’ombe Wilaya ya Micheweni, ikiwa ni shamrashamra za miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar WAZIRI wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Lela Mohamed Mussa, akizungumza katika hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi skuli ya sekendari Maziwang’ombe Wilaya ya Micheweni, ikiwa ni shamrashamra za miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar KATIBU Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Khamis Abdulla Said, akitoa taarifa ya kitaalamu ya ujenzi wa skuli ya Sekondari Maziwang’ombe Wilaya ya Micheweni, ikiwa ni shamrashamra za miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar. MMOJA ya wananchi wa Maziwang’ombe Khatib Njarume Arif, akitoa salamu za wananchi wa Maziwang’ombe Wilaya ya Micheweni, kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi, juu ya maendeleo anayoyafanya kwa wananchi wa wilaya hiyo, wakati wa hafla ya uwekajiwa jiwe la msingi skuli ya Sekondari Mazingo’mbe, ikiwa ni shamrashamra za miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar (PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA) Share