Spika BLW atia saini kitabu cha maombolezo kufuatia kifo cha aliekuwa Makamo Wa Kwanza Wa Rais Wa Zanzibar Mhe Maalim Seif Sharif Hamad
Spika Wa Baraza La Wawakilishi Mhe Zubeir Ali Maulid akitia saini kitabu cha maombolezo kufuatia kifo cha aliekuwa Makamo Wa Kwanza Wa Rais Wa Zanzibar Mhe Maalim Seif Sharif Hamad kilichotokea tarehe 17 Febuari 2021