Monday, November 25

RAIS WA ZANZIBAR MHE.DK.MWINYI AZUNGUMZA NA WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI MHE. SIMBACHAWENE IKULU ZANZIBAR LEO

AIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Waziri Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe.Goerge Boniface Simbachawene (kulia kwa Rais) wakati alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha, mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar na (kushoto kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe.Khamis Hamza Chilo.(Picha na Ikulu)