Monday, November 25

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe.Samia Suluhu Hassan Atunuku Shahada ya Sayansi ya Kijeshi Kwa Wahitimu 143 wa Jeshi la Wananchi la Tanzania Katika Viwanja Vya Ikulu Chamwino Dodoma.

 

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe.Samia Suluhu Hassan akielekea kuwatunuku Wahitimu wa Shahada ya Sayansi ya Kijeshi (Bachelor Degree in Milityary Science – BMS) akiwa ameongozana na Mkuu wa Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) Profesa Eliamani Sedoyeka na Mkuu wa Chuo cha mafunzo ya Kijeshi Monduli  Brigedia
jenerali Jackson Mwaseba katika viwanja vya Ikulu Chamwino mkoani Dodoma Jumamosi April 17, 2021. Shahada hizo zimetunukiwa kwa mara ya kwanza nchini na Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) kwa kushirikiana na Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi Tanzania Military Academy – TMA) cha Monduli mkoani Arusha.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe.Samia Suluhu Hassan akiwa tayari kuwatunuku  Wahitimu wa Shahada ya Sayansi ya Kijeshi (Bachelor Degree in Milityary Science – BMS) ambao pia ni Maafisa wanafunzi ambao awali aliwapa Kamisheni  katika viwanja vya Ikulu Chamwino mkoani Dodoma Jumamosi April 17, 2021. Shahada hizo zimetunukiwa kwa mara ya kwanza nchini na Chuo cha Uhasibu Arusha
(IAA) kwa kushirikiana na Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi Tanzania Military Academy – TMA) cha Monduli mkoani Arusha.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe.Samia Suluhu Hassan akimpa zawadi Luteni Ussu Happyness Muusa ambaye ni mmoja ya Wahitimu waliofanya vizuri kwenye taaluma walipokuwa wakisomea Shahada ya Sayansi ya Kijeshi (Bachelor Degree in Milityary Science – BMS)  katika viwanja vya Ikulu Chamwino mkoani Dodoma Jumamosi April 17, 2021. Shahada hizo zimetunukiwa kwa mara ya kwanza nchini na Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) kwa kushirikiana na Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi Tanzania Military Academy – TMA) cha Monduli mkoani Arusha.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe.Samia Suluhu Hassan akiunda Mahafali ya Kwanza ya Shahada ya Sayansi ya Kijeshi (Bachelor Degree in Milityary Science – BMS) kabla ya kuwatunuku shahada wahitimu 143 ambao pia ni Maafisa wanafunzi ambao awali aliwapa Kamisheni  katika viwanja hivyo vya Ikulu Chamwino mkoani Dodoma Jumamosi April 17, 2021. Shahada hizo zimetunukiwa kwa mara ya kwanza nchini na Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) kwa kushirikiana na Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi Tanzania Military Academy – TMA) cha Monduli mkoani Arusha.
Wahitimu wa Shahada ya Sayansi ya Kijeshi (Bachelor Degree in Milityary Science – BMS) wakiwa tayari kutunukiwa shahada zao na Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe Samia Suluhu Hassan katika viwanja vya Ikulu Chamwino mkoani Dodoma Jumamosi April 17, 2021. Shahada hizo zimetunukiwa kwa mara ya kwanza nchini na Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) kwa kushirikiana na Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi Tanzania Military Academy – TMA) cha Monduli mkoani Arusha. Awali. Wahitimu hao ambao pia ni Maafisa wanafunzi awali walitunukiwa Kamisheni na Rais na Amiri Jeshi Mkuu Mhe Samia Suluhu Hassan hapo hapo uwanjani katika sherehe iliyohudhuriwa pia na Makamu wa Rais Dkt.Philip Mpango, Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano Mhe. Job Ndugai na Naibu Spika Dkt. Tulia Ackson pamoja na Mawaziri, Viongozi waandamizi Serikalini na uongozi wa juu wa JWTZ ukiongozwa na Mkuu wa Majeshi Jenerali Venance Mabeyo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu MheSamia Suluhu Hassan akiwatunuku Wahitimu wa Shahada ya Sayansi ya Kijeshi (Bachelor Degree in Milityary Science – BMS) ambao pia ni Maafisa wanafunzi ambao awali walipewa Kamisheni  katika viwanja vya Ikulu Chamwino mkoani Dodoma Jumamosi April 17, 2021. Shahada hizo zimetunukiwa kwa mara ya kwanza nchini na Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) kwa kushirikiana na Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi Tanzania Military Academy – TMA) cha Monduli mkoani Arusha.

 

 

Wahitimu wa Shahada ya Sayansi ya Kijeshi (Bachelor Degree in Milityary Science – BMS) wakiwa katika picha ya kumbukumbu baada ya kutunukiwa shahada zao na Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe Samia Suluhu Hassan katika viwanja vya Ikulu Chamwino mkoani Dodoma Jumamosi April 17, 2021. Shahada hizo zimetunukiwa kwa mara ya kwanza nchini na Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) kwa kushirikiana na Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi Tanzania Military Academy – TMA) cha Monduli mkoani Arusha. Awali. Wahitimu hao
ambao pia ni Maafisa wanafunzi walitunukiwa Kamisheni na Rais na Amiri Jeshi Mkuu Mhe Samia Suluhu Hassan hapo hapo uwanjani katika sherehe iliyohudhuriwa pia na Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango, Waziri Mkuu
Mhe. Kassim Majaliwa, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano Mhe. Job Ndugai na Naibu Spika Dkt. Tulia Ackson pamoja na Mawaziri, Viongozi waandamizi Serikalini na uongozi wa juu wa JWTZ ukiongozwa na Mkuu wa
Majeshi Jenerali Venance Mabeyo
 PICHA NA IKULU.