RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akitabasamu wakati akikabidhiwa mkoba maalum ukiwa na ujumbe wa maneno ”Wanawake Waha Haki ya Kuongoza” na Mwakilishi Mkaazi wa UN Women Nchini Tanzania Bi.Hodan Addou na (kushoto kwa Rais)Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said, baada ya kumaliza mazungumzo na mgeni wake yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la MapinduziMhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mwakilishi Mkaazi wa UN Women Nchini Tanzania Bi.Hodan Addou, wakati akimkabidhiwa mkoba ukiwa na ujumbe wa maneno “Wanawake Wana Haki ya Kuongoza”,baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na mgeni wake Mwakilishi Mkaazi wa UN Women Nchini Tanzania Bi.Hodan Addou, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mwakilishi Mkaazi wa UN Women Nchini Tanzania Bi. Hodan Addou, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha,mazungumzo hayo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza mgeni wake Mwakilishi Mkaazi wa UN Women Tanzania Bi.Hodan Addou, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha, mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mwakilishi Mkaazi wa UN Women Nchini Tanzania Bi. Hodan Addou, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha, mazungumzo hayo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar