Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Marium Mwinyi akimakbidhi cheti Mwanafunzi Ayman Juma Malik akiwa Mwanafunzi Bora katika wahitimu wa kidatu cha sita katika sherehe ya mahfali ya kwanza ya Skuli ya Maarif Zanzibar iliyopo Kijiji cha SoS Mombasa Mjini Magharibi Ufunguzi wa Skuli hoyo leo alipomuwakilisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) Waziri wa Elimu na mafunzo ya Amali Mhe.Simai Mohamed Said.
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akimakbidhi cheti Mwanafunzi Nassir Kassim Mzee akiwa Mwanafunzi Bora katika wahitimu wa kidatu cha sita katika sherehe ya mahfali ya kwanza ya Skuli ya Maarif Zanzibar iliyopo Kijiji cha SoS Mombasa Mjini Magharibi Ufunguzi wa Skuli hoyo leo alipomuwakilisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) Waziri wa Elimu na mafunzo ya Amali Mhe.Simai Mohamed Said.
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi (kushoto) akiwasalimia wanafunzi wa Maandalizi katika sherehe za ufunguzi wa Skuli ya Turkish Maarif Zanzibar iliyopo Kijiji cha SoS Mombasa Jijini Zanzibar sambamba na Mahfali ya kwanza ya kidato cha sita Skulini hapo ambapo amemuwakilisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi katika sherehe hiyo leo walipokuwa wakiimba wimbo maalum.
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi (kushoto) akiwasalimia wanafunzi wa Maandalizi katika sherehe za ufunguzi wa Skuli ya Turkish Maarif Zanzibar iliyopo Kijiji cha SoS Mombasa Jijini Zanzibar sambamba na Mahfali ya kwanza ya kidato cha sita Skulini hapo ambapo amemuwakilisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi katika sherehe hiyo leo walipokuwa wakiimba wimbo maalum
Wanafunzi wakiimba wimbo maalum wakati wa sherehe za ufunguzi wa Skuli ya Turkish Maarif Zanzibar iliyopo Kijiji cha SoS Mombasa Jijini Zanzibar sambamba na Mahfali ya kwanza ya kidato cha sita Skulini hap oleo ambapo Mgeni rasmi alikuwa Mke wa Rais Mama Mariam Mwinyi akimuwakilisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi katika sherehe hiyo
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Maryam Mwinyi akitoa hutuba yake ya ufunguzi wa Skuli ya Turkish Maarif Zanzibar iliyopo Kijiji cha SoS Mombasa Zanzibar sambamba na Mahfali ya kwanza ya kidato cha sita Skulini hapo akimuwakilisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi katika sherehe hiyo(kulia) Balozi wa Uturuki Nchini Tanzania Dkt. Mehment Gulluoglu na Mjumbe wa Bodi ya Maarif kutoka nchini Uturuku Prof.Aysen Gurshan (katikati)
Wazee wa Wanafunzi wanaosoma katika Skuli ya Turkish Maarif Zanzibar wakiwa katika sherehe za ufunguzi wa Skuli hiyo iliyopo Kijiji cha SoS Mombasa Jijini Zanzibar sambamba na Mahfali ya kwanza ya kidato cha sita Skulini hapo leo wakimsikiliza Mgeni rasmi Mke wa Rais Mama Marium Mwinyi akimuwakilisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi katika sherehe hiyo wakati alipokuwa akitoa hutuba yake ya ufunguzi
Baadhi ya wageni kutoka Uturuki waliohudhuria katika sherehe za ufunguzi wa Skuli ya Turkish Maarif Zanzibar iliyopo Kijiji cha SoS Mombasa Jijini Zanzibar sambamba na Mahfali ya kwanza ya kidato cha sita Skulini hapo leo ambapo Mgeni rasmi alikuwa Mke wa Rais Mama Mariam Mwinyi akimuwakilisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi katika sherehe hiyo alipokuwa akitoa hutuba yake ya ufunguzi