Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) alipokuwa akimsikiliza Waziri wa Katiba,Sheria,Utumishi wa Umma na Utawalabora pia Mwakilishi wa Jimbo la Makunduchi Mhe.Haroun Ali Suleiman (kushoto) alipokuwa kitembelea Chuo cha Mafunzo ya Amali Kisogno Makunduchi leo akiwa katika ziara ya kutembelea miradi mbali mbali Wilaya ya Kusini Unguja (kulia) Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe.Rashid Hadid Rashid .[Picha na Iklulu] 03Julai 2021.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) alipokuwa akizungumza na wananchi (hawapo pichani) wakati alipotembelea Barabara ya Koba -Mzuri Makunduchi akiwa katika ziara ya kutembelea miradi mbali mbali Wilaya ya Kusini Unguja (kulia) Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi Raham kassim Ali (kushoto) Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe.Rashid Hadid Rashid .[Picha na Iklulu] 03Julai 2021.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) alipokuwa akisalimiana na Viongozi wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii mara alipowasili katika viwanja vya Hospitali ya Wilaya ya Makunduchi akiwa katika ziara ya kutembelea miradi mbali mbali Wilaya ya Kusini Unguja Leo .[Picha na Iklulu] 03Julai 2021.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) alipokuwa akipata maelezo kutoka kwa Muuguzi Mkuu wa Hospitali ya Wilaya Makunduzi Wadh-ha Ambar Maftaha alipofika katika Hospitali hiyo akiwa katika ziara ya kutembelea miradi mbali mbali Wilaya ya Kusini Unguja Leo .[Picha na Iklulu] 03Julai 2021.
Madaktari na wahudumu wa Hospitali ya Wilaya Makunduzi wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) alipozungumza nao akiwa katika ziara ya kutembelea miradi mbali mbali Wilaya ya Kusini Unguja Leo .[Picha na Iklulu] 03Julai 2021.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akisisitiza jambo wakati alipotembelea Mashine ya Maji Mtule katika mradi wa Maji Kijiji cha Kitogani Muungoni akiwa katika ziara ya kutembelea miradi mbali mbali ya maendeleo Wilaya ya Kusini Unguja leo.[Picha na Iklulu] 03Julai 2021.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akipata maelezo kutoka kwa Mkuu wa Wilaya ya Kusini Mhe.Rashid Makame Shamsi alipotembelea Skuli ya Sekondari ya Mtule akiwa katika ziara ya kutembelea miradi mbali mbali Wilaya ya Kusini Unguja leo.[Picha na Iklulu] 03Julai 2021.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) alipofuatana na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe.Rashid Hadid Rashid (kushoto) na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali pia Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu Mhe.Simai Mohamed Said wakati alipotembelea Skuli ya Sekondari ya Mtule akiwa katika ziara ya kutembelea miradi mbali mbali Wilaya ya Kusini Unguja leo.[Picha na Iklulu] 03Julai 2021.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akiuliza suala kwa Bi Mwanaisha Makame wa kikundi cha Furahia Wanawake Group kinachojishuhulisha na utengenezaji wa bizaa mbali mbali za zao la mwani katika Kijiji cha Paje akiwa katika ziara ya kutembelea miradi mbali mbali ya maendeleo Wilaya ya Kusini Unguja leo.[Picha na Iklulu] 03Julai 2021.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipotembelea maonesho ya vikundi mbali mbali wajasiria mali vya Wilaya ya Kusini yaliyofanyikla leo katika Kijiji cha Paje akiwa katika ziara ya kutembelea miradi mbali mbali Wilaya ya Kusini Unguja .[Picha na Iklulu] 03Julai 2021.