Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipewa maelezo na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI), Dkt. Godfrey Mkamilo (kulia) kuhusu mche wa mti wa zabibu, wakati alipotembelea Makao Mkuu ya Taasisi hiyo, iliyopo Makutopora Jijini Dodoma
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipewa maelezo na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI), Dkt. Godfrey Mkamilo (kulia) kuhusu mche wa mti wa zabibu, wakati alipotembelea Makao Mkuu ya Taasisi hiyo, iliyopo Makutopora Jijini Dodoma,
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiangalia tunda la zabibu alipotembelea shamba la Mkulima Jully Sombe, lililopo Hombolo Jijini Dodoma,
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akitembelea Shamba la Mkulima wa Zabibu Photunatus Kenyumko (katikati) lililopo Msalato Jijini Dodoma
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipewa maelezo na Mkurugenzi Mkuu wa kiwanda cha kuchakata zabibu cha CETAWIKO Florenzo Chesini, wakati alipotembelea kiwanda hicho ili kuona utendaji kazi wake, Hombolo Jijini Dodoma
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiangalia tunda la zabibu alipotembelea shamba la Mkulima Jully Sombe, lililopo Hombolo Jijini Dodoma, Julai 5, 2021.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)