Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akimuapisha Dkt.Omar Dadi Shajak kuwa Katibu Mkuu Ofisi ya Makamo wa Kwanza wa Rais,kabla alikuwa katibu Mkuu Wizara ya Afya,Ustawi wa Jamii,Wazee,Jinsia na Watoto, hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 02/08/2021.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akimuapisha Nd,Khadija Khamis Rajab kuwa Katibu Mkuu, Anayeshuhulikia masuala ya (Kazi na Uwekezaji) katika Ofisi ya Rais Kazi,Uchumi na Uwekezaji hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 02/08/2021.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akimuapisha Dkt. Habiba Hassan Omar kuwa Katibu Mkuu, Anayeshuhulikia masuala ya (Uchumi na Uwekezaji) katika Ofisi ya Rais Kazi,Uchumi na Uwekezaji hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 02/08/2021.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akimuapisha Dkt. Fatma Marisho kuwa Katibu Mkuu, Wizara ya Afya,Ustawi wa Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto katika hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 02/08/2021.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akimuapisha Khamis Kona Khamis kuwa Mkurugenzi wa Uchaguzi katika Tume ya Uchaguzi Zanzibar hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 02/08/2021.