Thursday, January 16

RAIS MHE.HUSSEIN ALI MWINYI AANZA ZIARA MKOA KASKAZINI PEMBA

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali mwinyi akisoma taarifa ya Utekelezaji ya Mkoa wa Kaskazini Pemba ikiwasilishwa na Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba Mhe.Salama Mbarouk Khatib, kabla ya kuaza kwa ziara yake katika Mkoa wa Kaskazini Pemba leo, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi mikutano wa Micheweni.(Picha na Ikulu) 

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi wa Serikali na Chama alipowasili katika viwanja vya ukumbi wa mkutano wa Wilaya ya Micheweni Pemba, akiwa katika ziara yake katika Mkoa wa Kaskazini Pemba leo 31-8-2021.(Picha na Ikulu) 

BAADHI Viongozi wa Serikali wa Mkoa wa Kaskazini Pemba wakifuatilia taarifa ya utekelezaji ikiwasilishwa na Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba.(Picha na Ikulu)  

BAADHI ya Mawaziri na Viongozi wa Serikali wa Mkoa wa Kaskazini Pemba wakifuatilia taarifa ya Utekelezaji Kazi ya Mkoa wa Kaskazini Pemba ikiwasilishwa na Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba Mhe.Salama Mbarouk Khatib, kabla ya kuaza kwa ziara katika Mkoa huo.hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa mikutano wa Micheweni.(Picha nav Ikulu)