Thursday, February 27

HABARI PICHA: Maadhimisho ya 57 ya Elimu bila malipo kitaifa mwaka 2021 katika viwanja vya Michezo Gombani Pemba.

MAAFISA wadhamini kutoka taasisi mbali mbali za serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, wakifuatilia maadhimisho ya 57 ya Elimu bila malipo kitaifa mwaka 2021 yamefanyika katika viwanja vya Michezo Gombani Pemba
MKUU wa Mkoa wa Kusini Pemba Mattar Zahor Massoud, akiwasilisha salamu za Mkoa wa Kusini Pemba katika maadhimisho ya 57 ya Elimu bila malipo kitaifa mwaka 2021 yamefanyika katika viwanja vya Michezo Gombani Pemba.
KATIBU Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Ali Khamis Juma, akizungumza wakati wa maadhimisho ya 57 ya Elimu bila malipo kitaifa mwaka 2021 yamefanyika katika viwanja vya Michezo Gombani Pemba
WAZIRI wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Simai Mohamed Said, akizungumza na walimu na wanafunzi wa skuli wa mikao mitano ya Zanzibar, katika maadhimisho ya 57 ya Elimu bila malipo kitaifa mwaka 2021 yamefanyika katika viwanja vya Michezo Gombani Pemba

MAKAMU wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Othaman Massoud Othaman akiwahutubia Wanafunzi,Walimu na wananchi wa Mikao mitano ya Zanzibar, katika maadhimisho ya 57 ya Elimu bila malipo kitaifa mwaka 2021 yamefanyika katika viwanja vya Michezo Gombani Pemba.
WAKUU wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama Kisiwani Pemba, makatibu Tawala wa Wilaya nne za Pemba, wakifuatilia kwa makini maadhimisho ya 57 ya Elimu bila malipo kitaifa mwaka 2021 yamefanyika katika viwanja vya Michezo Gombani Pemba

WANAFUNZI wa Skuli za Msingi na Sekondari kutoka Mikoa mitano ya Zanzibar, wakifuatilia kwa makini maadhimisho ya 57 ya Elimu bila malipo kitaifa mwaka 2021 yamefanyika katika viwanja vya Michezo Gombani Pemba

 

.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)