Monday, November 25

afya

AHMAD AL-FALASI FOUNDATION KUSAIDIA ZANZIBAR KATIKA SEKTA YA AFYA
afya

AHMAD AL-FALASI FOUNDATION KUSAIDIA ZANZIBAR KATIKA SEKTA YA AFYA

Waziri wa Afya,Ustawi wa Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Nassor Ahmed Mazrui (kulia) akiwa na Mkurugenzi Mtendaji Hospitali ya Rufaa Mnazimmoja Dkt. Msafiri Marijani (kushoto) wakimtembeza Mfadhili Ahmad AL- Falasi katika maeneo mbalimbali ya Hospitali ya Rufaa Mnazimmoja kuona changamoto zilizopo. Mkurugenzi Mtendaji Hospitali ya Rufaa Mnazimmoja Dkt. Msafiri Marijani akizungumza na Mfadhili kutoka (UAE) Ahmad AL- Falasi (wakwanza kulia) akiwa na familia yake walipofika Ofisini kwake Mnazimmja Hospitali. Ahmad AL- Falasi ambae ni Mfadhili kutoka Dubai anaetaka kusaidia Zanzibar katika sekta ya afya akizungumza na wazazi wa wagonjwa alifika  haspitali ya mnazimmoja kupata huduma ili kuona changamoto zinazowakabili. Ahmad AL- Falasi ambae ni Mfadhili kutoka Dubai anaetaka ...
PEMBA yajipanga kukabiliana na wimbi la tatu la COVID-19.
afya

PEMBA yajipanga kukabiliana na wimbi la tatu la COVID-19.

  NA ABDI SULEIMAN. IKIWA serikali ya SMT na SMZ, zimeanza kuchukua juhudi za kukabiliana na wimbo la tatu la maradhi ya Covid 19, halitame viongozi wa serikali Kisiwani Pemba, wamesema kuwa tayari mikakati mbali mbali imeshaanza kuchukulia katika kukabiliana na wimbi hilo. Viongozi hao wamesema tayari mikakati mbali mbali wameshaanza kuipanga, katika kukabiliana na wimbo hilo ikiwemo kuimarisha huduma katika maeneo yote yenye mikusanyiko ya jamii. Wakizungumza na mwandishi wa habari hizi kwa nyakati tafauti kwa njia ya simu, wamesema kuwa moja ya mikakati hiyo ni kusambaza kwa vifaa vya kunawiya mikono katika maeneo hayo. Mkuu wa mkoa wa kaskazini Pemba Salama Mbarouk Khatib, alisema miongoni mwa mikakati ambayo wameanza kuichukua ni kuwapatia elimu wananchi juu ...
Mh Hemed azindua rasmi mpango wa chanjo ya kutokomeza Kipindupindu Zanzibar
afya

Mh Hemed azindua rasmi mpango wa chanjo ya kutokomeza Kipindupindu Zanzibar

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla akizungumza na wananchi waliohudhuria katika uzinduzi wa Kampeni ya Chanjo ya Kipindupindu uliofanyika katika Viwanja vya Magirisi Meli Nnne Wilaya ya Magharibi “B” Unguja.  Mhe. Hemed akiwa Pamoja na Mhe. Omar Said Shaaban kwa niaba ya Waziri wa Afya na Muwakilishi Mkaazi wa Shirika la Afya Duniani Dk. Tigest Ketesela Mengestu akizindua rasmi mpango wa Chanjo ya Kutomeza Kipindupindu Zanzibar.   Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla amezitaka Taasisi zenye dhamana ya utekelezaji wa mpango wa kutokomeza kipindupindu Zanzibar kusimamia wajibu wao kwa kutekeleza miongozo na mikakati ya kutokmeza maradhi hayo. Mhe. Hemed alieleza hayo katika hafla maalum ya uzinduzi wa kampeni ya chanjo ya...
VIDEO: Presha ya ujauzito ni chanzo cha vifo vya kina mama na watoto fika kituo cha afya mapema pindi ukiona dalili za ujauzito.
afya, Wanawake & Watoto

VIDEO: Presha ya ujauzito ni chanzo cha vifo vya kina mama na watoto fika kituo cha afya mapema pindi ukiona dalili za ujauzito.

NA KHADIJA KOMBO. PEMBA.                                                                                                 Imeelezwa kuwa vifo ving ivya  mama wajawazito na watoto vinatokana na presha ya mimba hivyo ni vyema kwa akina mama mara wanapojihisi kuwa wajawazito kukimbilia vituo vya afya ili kupata ushauri zaidi. Mkuu wa kitengo cha maradhi yasiyo ambukiza kutoka Hospitali kuu ya mnazi mmoja Dr.Ummukulthum Omar Hamad ameyasema hayo wakati alipokuwa akitoa mada kwa wahudumu wa Afya katika ngazi ya jamii huko katika ukumbi wa Samail Gombani Pemba. Amesema kutokana na hali hio ni vyema kwa wahudumu hao kuishajihisha jamii juu ya akina mama kwenda kituo  cha afya mapema mara tu wanapojibaini na dalili za ujauzito kwa lengo la kuchunguzwa afya zao, kitu ambacho kitasaidia ...
NGOs zatakiwa kuongeza juhudi kuibua wagonjwa wa TB.
afya

NGOs zatakiwa kuongeza juhudi kuibua wagonjwa wa TB.

KHADIJA KOMBO-PEMBA.   Mkuu kitengo shirikishi Kifua kikuu, ukimwi, Ukoma na homa ya ini Pemba Khamis Hamad Ali amesema kitengo kinaamini kwamba ugonjwa wa kifua kikuu bado upo ndani ya jamii hivyo ni lazima wagonjwa waibuliwe ili kupatiwa tiba na kutokomeza kabisa ugonjwa huo. Mkuu huyo ameyasema hayo huko katika ukumbi wa ofisi za kitengo shirikishi Machomanne Chake Chake katika kikao cha uwasilishaji wa ripoti za utekelezaji  kwa kipindi cha  mwezi April-June 2021 kwa Asasi za kirai ambazo zinashirikiana na kitengo katika mapambano dhidi ya ugonjwa wa kifua kikuu. Amesema kwa mujibu wa Global fund kupitia WHO wanatakiwa kuibua wagonjwa 1612 kwa mwaka ili kupunguza au kuondoa kabisa ugonjwa huo. Kwa upande wake Dk Khamis Abubakar amabae ni mratibu wa kifua k...