Monday, November 25

afya

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na kuzungumza na Mwakilishi Mkaazi wa Shirika la Afya Duniani nchini Tanzania Ikulu Zanzibir
afya

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na kuzungumza na Mwakilishi Mkaazi wa Shirika la Afya Duniani nchini Tanzania Ikulu Zanzibir

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza mgeni wake Mwakilishi Mkaazi wa Shirika la Afya Duniani Nchini Tanzania Dr. Tigest Ketsela Mengestu,alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha,mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar. RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mwakilishi Mkaazi wa Shirika la Afri Duniani Nchini Tanzania (WHO) Dr.Tigest Ketsela Mengestu,alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika leo 3/6/2021 katika ukumbi wa Ikulu akiwa na Ofisa wa WHO Zanzibar Dr.Ghirmay Redae Andemichael. RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mwakilishi Mkaazi wa Shirika l...
VIDEO: Watu wenye ulemavu wa ngozi Kisiwani Pemba wamewaomba wadau wanaowaunga mkono ,kuangalia uwezekano wa kuwasaidia huduma za uchunguzi wa afya.
afya, Kitaifa

VIDEO: Watu wenye ulemavu wa ngozi Kisiwani Pemba wamewaomba wadau wanaowaunga mkono ,kuangalia uwezekano wa kuwasaidia huduma za uchunguzi wa afya.

NA KHADIJA KOMBO-PEMBA. Watu wenye ulemavu wa ngozi Kisiwani Pemba wamewaomba wadau wanaowaunga mkono katika kutatua matatizo yanayowakabili, kuangalia uwezekano wakuwasaidia huduma za uchunguzi wa afya kwani kutoka nana hali zao ni rahisi kupata maambukizo ya maradhi mbali mbali. Wakizungumza baada ya kupata chakula cha pamoja kati ya watu wenye ulemavu wa ngozi na wanajumuiya ya kimataifa ya maendeleo Zanzibar ZIDO huko katika Skuli ya sekondari ya madungu Chake chake wamesema kutokana na ugumu wa hali zao wanahitaji kusaidiwa uchunguzi wa afya zao pamoja na nyenzo nyengine za kuwakwa mua kimaisha. Kwa  upande wake Mkuu wa Jumuiya hio kwa upande wa  Zanzibar ndugu Makame Ramadhan amesema ZIDO iko mstari wa mbele katika kusaidia wananchi mbali mbali lakini wao wenyewe wawe ta...
Madaktari Bingwa Kutoka China Wapingezwa Kwa Kazi Nzuri Wanayoifanya Kutoa Huduma Ka Jamii Kwa Miaka Mingi Zanzibar.
afya

Madaktari Bingwa Kutoka China Wapingezwa Kwa Kazi Nzuri Wanayoifanya Kutoa Huduma Ka Jamii Kwa Miaka Mingi Zanzibar.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Timu ya Madaktari Bingwa kutoka China ukiongozwa na Dr.Wang Yi Ming (kulia kwa Rais) alipowasili katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na Madaktari hao RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Kiongozi wa Timu ya Madaktari Bingwa kutoka China Dr.Wang Yi Ming, (kulia kwa Rais) akiwa na Madaktari hao walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Timu ya Madaktari Bingwa kutoka Nchini China wanaotowa huduma za Matibabu katika Hospitali  ya Mnazi Mmoja, walipofika Ikulu kwa mazungumzo yaliofany...
KWA SASA TANZANIA IMEWEZA KUDHITI VIZURI CORONA NA WANANCHI WAENDELEE KUTEKELEZA MBINU ZOTE ZA KINGA
afya

KWA SASA TANZANIA IMEWEZA KUDHITI VIZURI CORONA NA WANANCHI WAENDELEE KUTEKELEZA MBINU ZOTE ZA KINGA

      Na.WAMJW-Mwanza Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Prof. Abel Makubi amewaondoa hofu Watanzania,wageni pamoja na watalii juu ya ugonjwa wa corona(COVID-19) kwa sababu Serikali na Wananchi wameendelea kuudhibiti vizuri mpaka sasa. Prof.Makubi ameyasema hayo wakati alipo tembelea hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mwanza Sekou -Toure ambapo alipata fursa ya kukagua idara mbalimbali ikiwemo chumba cha CT-Scan pamoja na kuzungumza na wagonjwa walikuwa wakipata matibabu katika hospitali hiyo. Wasafiri pamoja na watalii waendelee kuja nchini bila wasiwasi lakini kuna utaratibu wanapewa huku Watanzania wakiendelea kuchukua tahadhari zote za kujikinga ili udhibiti uliopo sasa uendele zaidi na ndio suala la msingi ambalo anawaomba w...