Monday, November 25

afya

VIDEO: Unyanyapaa kwa watu wenye ulemavu wa ngozi ni sababu za kuwakosesha haki zao za msingi.
afya, Kitaifa

VIDEO: Unyanyapaa kwa watu wenye ulemavu wa ngozi ni sababu za kuwakosesha haki zao za msingi.

NA KHADIJA KOMBO-PEMBA Unyanyapaa kwa watu wenye ulemavu wa ngozi imetajwa kuwa ni moja kati ya sababu zinazopelekea kuwakosesha haki zao za msingi watu wa jamii hiyo. Hayo yameelezwa  na Mwenyekiti wa Jumuiya hio Kisiwani Pemba bibi Awena Khamis Rashid wakati alikuwa akizungumza na Uongozi wa Jumuyiya ya Zanzibar  International development  ZIDO katika hafla  fupi ya ugawaji wa sadaka kawa watu hao kutoka Jumuiya hio huko katika ukumbi wa Skuli ya Madungu Sekondari Chake Chake. Amesema watu wenyeulemavu wa ngozi wamekuwa wakikabiliwa na changamoto nyingi mbali na unyanyapaa lakini pia hata upatikanaji wa haki ya elimu bado kwao ni changamoto. Naye Mkuu wa Jumuiya ya ZIDO kwa upande wa Zanzibar ndugu Makame Ramadhani amesema kutokana na changamoto hizo Jumuiya yao i...
“Chanjo hupunguza gharama kubwa za matibabu waandishi waelimisheni jamii”.
afya

“Chanjo hupunguza gharama kubwa za matibabu waandishi waelimisheni jamii”.

  NA ZUHURA JUMA, PEMBA MRATIBU wa huduma za Chanjo kwa mama, wasichana na watoto Pemba Bakar Hamad Bakar amesema, chanjo ni mkakati muafaka wa kutokomeza maradhi na kupunguza vifo vitokanavyo na maradhi ya kuambukiza. Akizungumza na waandishi wa habari katika Ukumbi wa Maabara Wawi Chake Chake Mratibu huyo ikiwa ni katika kuadhimisha wiki ya Chanjo Barani Afrika alisema, chanjo pia hupunguza gharama kubwa za matibabu ambazo familia na Taifa ingetumia kutibu magonjwa. Alisema kuwa, mkakati huo wa chanjo ni njia bora ya kudhibiti na kutokomeza maradhi na vifo vitokanavyo na saratani ya shingo ya kizazi, polio, surua, rubela, donda koo, kifaduro, T.B, kuharisha, nimonia, homa ya ini na mafua makali. Alisema, ipo haja kwa waandishi kuielimisha jamii kuhusu umuhimu ...
Zanzibar Kuungana na Mataifa Mengine Katika Kuadhimisha Wiki ya Chanjo Afrika.
afya

Zanzibar Kuungana na Mataifa Mengine Katika Kuadhimisha Wiki ya Chanjo Afrika.

Mkurugenzi Kinga na Elimu ya Afya DK. Fadhil Mohd Abdalla akitoa tarifa ya Wiki ya chanjo Afrika na kumkaribisha Waziri wa Afya, Ustawi wa Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Nassor Ahmed Mazrui kuzungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa Wizara Mnazimmoja Mjini Zanzibar. Mkurugenzi Kinga na Elimu ya Afya DK. Fadhil Mohd Abdalla akitoa tarifa ya Wiki ya chanjo Afrika na kumkaribisha Waziri wa Afya, Ustawi wa Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Nassor Ahmed Mazrui kuzungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa Wizara Mnazimmoja Mjini Zanzibar. Mkurugenzi Kinga na Elimu ya Afya DK. Fadhil Mohd Abdalla akitoa tarifa ya Wiki ya chanjo Afrika na kumkaribisha Waziri wa Afya, Ustawi wa Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Nassor Ahmed Mazrui kuzungumza na waandishi wa habari katika u...
NMB yazindua Bima ya simu za mkononi
afya

NMB yazindua Bima ya simu za mkononi

Afisa Mkuu wa Wateja Binafsi na Biashara wa NMB, Filbert Mponzi(kulia) na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Bima ya Reliance Tanzania, Ravi Shankar wakizindua rasmi huduma ya Bima ya simu kwa watumiaji wa NMB Mkononi jijini Dar es Salaam. Afisa Mkuu wa Wateja Binafsi na Biashara wa NMB, Filbert Mponzi(kulia) na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Bima ya Reliance Tanzania, Ravi Shankar wakizindua rasmi huduma ya Bima ya simu kwa watumiaji wa NMB Mkononi jijini Dar es Salaam. Wanaoshuhudia ni Kaimu Mkurugenzi wa Sheria wa Mamlaka ya Bima nchini, Emily Kiria (Katikati) Mkuu wa Idara ya huduma za Bima Benki ya NMB, Martine Massawe (Kulia) na kushoto ni Mkuu wa Idara ya Fedha wa Kampuni ya Bima ya Reliance, Flora Mkaule     Na.Mwandishi Wetu. BENKI ya NMB kwa kushirikiana Kampu...