Monday, November 25

afya

India Yakabidhi Msaada wa Dawa Kwa Zanzibar Zenye Thamani ya Shilingi Milioni 268.
afya

India Yakabidhi Msaada wa Dawa Kwa Zanzibar Zenye Thamani ya Shilingi Milioni 268.

Balozi mdogo wa Jamuhuri ya Watu wa India aliepo  Zanzibar Mhe.Bhagwant Singh (kushoto) akimkabidhi Waziri wa Afya, Ustawi wa Jamii, Wazee, Jinsia na Watoto Nassor Ahmed Mazurui moja ya boksi la dawa zilizotolewa msaada na nchi yake.katika hafla iliyofanyika Bohari Kuu dawa Maruhubi nje kidogo ya Mji wa Zanzibar Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Ustawa wa Jamii, Wazee Jinsia na Watoto Omar Dadi Shajak akitoa hotuba ya makaribisho wakati Balozi mdogo wa India aliepo Zanzibar alipokabidhi msaada wa dawa katika Bohari Kuu ya dawa Maruhubi nje kidogo ya Mji wa Zanzibar Baadhi ya Wafanyakazi wa Bohari Kuu ya dawa na Wageni waalikwa wakishuhudi kukabidhiwa msaada wa dawa kutoka India katika hafla iliyofanyika Ofisini kwao Maruhubi nje kidogo ya Mji wa Zanzibar   Na Ramadha...
TATIZO LA  UMEME WA MOYO “ATRIAL FIBRILLATION” MAANA YAKE NINI?
afya

TATIZO LA UMEME WA MOYO “ATRIAL FIBRILLATION” MAANA YAKE NINI?

  Tatizo la umeme wa Moyo ni pale ambapo Chemba za juu za moyo zinazohusika na kusukuma damu kwenye moyo (Atria) zinashindwa kufanya kazi sawa sawa kupelekea kushindwa kushirikiana na chemba ziingine za chini (Ventricles) kuisukuma damu kuingia na  kutoka kwenye moyo kwenda sehemu ziingine za mwili. Umeme wenyewe wa moyo ni pale ambako moyo wenyewe unazalisha nguvu(umeme) itakayosaidia hivi vyumba vyake kusukuma damu. Umeme huu huzalishwa na kundi la seli hai ziitwa sinus node ambazo hupatika katika Chemba ya juu kulia(Right atrium).  DALILI ZA TATIZO LA UMEME WA MOYO Mtu anapopata tatizo hili mapigo yake ya moyo huenda kasi sana kufikia mapigo100 hadi 175 kwa dakika,Maumivu ya kifua sehemu ya kulia, kuishiwa pumzi na kuchoka mwili mzima. NINI VISABABISHI VYA TATIZO  V...
Wakala wa Chakula, Dawa na Vipodozi Zanzibar (ZFDA) wateketeza tani 20 za Dawa
afya, Kitaifa

Wakala wa Chakula, Dawa na Vipodozi Zanzibar (ZFDA) wateketeza tani 20 za Dawa

Wafanyakazi wa Wakala wa Chakula, Dawa na Vipodozi Zanzibar wakishusha shehena ya dawa katika Shehia ya Kikungwi kwa ajili ya kuharibiwa baada ya kubainika hazikufuata taratibu za utengenezaji. Baadhi ya boksi za dawa zilizokosa viwango vya utengenezaji zilizoingizwa nchini na Unguja Pharmacy zikisubiri kuangamizwa katika shehia ya Kikungwi Mkoa wa Kusini Unguja. Baadhi ya boksi za dawa zilizokosa viwango vya utengenezaji zilizoingizwa nchini na Unguja Pharmacy zikisubiri kuangamizwa katika shehia ya Kikungwi Mkoa wa Kusini Unguja. Bulldoza la Idara ya Mawasiliano likiharibu dawa katika Shehia ya Kikungwi Mkoa wa Kusini Unguja zilizoingizwa nchini na Unguja Pharmacy zikiwa hazina viwango vinavyokidhi kwa matumizi. Baadhi ya maafisa wa Wakala wa Chakula, Dawa...
Aliyekuwa waziri mkuu wa Kenya Raila Odinga akutwa na virusi vya corona
afya, Kitaifa

Aliyekuwa waziri mkuu wa Kenya Raila Odinga akutwa na virusi vya corona

Kiongozi wa chama cha ODM nchini Kenya Raila Odinga amesema Alhamisi kwamba amekutwa na virusi vya Corona licha ya kuwa anajihisi yuko sawa na mwenye nguvu . Raila mwenye umri wa miaka 76 alifanyiwa msururu wa vipimo katika hospitali ya Nairobi Hospital siku ya Jumanne baada ya kulalamika kwamba ana uchovu aliporejea Nairobi kutoka kampeini za siku tano katika eneo laPwani kufanyia kampeni ripoti ya BBI . " Ingawaje vipimo vilikuwa vingi , matokeo ya uchunguzi mmoja muhimu yamekuwa wazi na nimewaruhusu madaktari wangu kutangaza kwa umma kwamba nina virusi vya Covid 19' amesema waziri huyo mkuu wa zamani . Daktari wa Raila Dkt. David Oluoch-Olunya, amesema kiongozi huyo wa ODM anapokea vyema matibabu na wanazidi kuifuatilia kwa makini hali yake. ...
Virusi vya corona: Je taifa la Tanzania linakabiliwa na mlipuko uliojificha?
afya, Kimataifa

Virusi vya corona: Je taifa la Tanzania linakabiliwa na mlipuko uliojificha?

Licha ya ushahidi kuonyesha kinyume, serikali ya Tanzania imeendelea kupuuzilia mbali athari ya virusi vya corona katika taifa hilo. Hakuna takwimu rasmi Hakuna takwimu za karibuni kuhusu vifo vinavyotokea Tanzania, na hakuna taarifa zozote zilizotolewa na serikali kuhusu athari za virusi vya rasmi tangu Mei mwaka jana, ambapo takriban visa 500 vya maambukizi vilikuwa vimeripotiwa na vifo 20 kufikia wakati huo. Serikali imesisitiza kwamba hakuna haja ya kuwa na wasiwasi, na imekuwa ikiwachukulia hatua wale inaowatuhumu kwa kueneza "taarifa za uzushi". CHANZO CHA PICHA,AFP Maelezo ya picha,Rais Magufuli amekataa kutekeleza mpango wa chanjo na badala yake amekuza utumizi wa dawa za kitamaduni Tulipowasiliana na naibu waziri wa afya Go...