Sunday, November 24

afya

“Fanyeni  kazi kwa mashirikiano ili kusimamia vyema utekelezaji  wa Ilani ya CCM ya 2020/2025”.Mhe Hemed
afya, Kitaifa, Siasa

“Fanyeni kazi kwa mashirikiano ili kusimamia vyema utekelezaji wa Ilani ya CCM ya 2020/2025”.Mhe Hemed

Mjumbe wa kamati kuu ya halimashauri kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla amewashauri watendaji wa chama na serikali kufanya kazi kwa mashirikiano ili kusimamia vyema utekelezaji wa wa Ilani ya CCM ya 2020/2025. Mhe. Hemed alitoa ushauri huo  katika halfa ya kukabdhi magodoro kwa vituo  vya afya vya Jimbo la Chaani, vilivyotolewa kwa ushirikiano baina ya Mbunge na Muwakilishi wa Jimbo hilo, ikiwa ni utekelezaji wa ahadi zao walizozitoa wakati wa kampeni. Alisema kuna kila sababu kwa viongozi hao kushirikiana kwani kufanya hivyo kutasaidia serikali kutekeleza miradi mbali mbali sambamba na utekelezaji wa ilani ya CCM na ahadi zilizotolewa wakati wa Kampeni. Makamu wa Pili wa Rais aliwapongeza viongozi hao wa jimbo kwa ushi...
Ufahamu ugonjwa wa saratani ya matiti.
afya

Ufahamu ugonjwa wa saratani ya matiti.

  SARATANI YA MATITI NI NINI? Saratani ya matiti ni saratani inayowakumba wanawake wengi duniani. Hatari ya kupata saratani inaongezeka kadiri umri unavyokuwa mkubwa na endapo utaishi miaka 90 hatari ya kupata saratani ya matiti ni asilimia 14. Mwaka 2007 wanawake milioni 1.7 waligundulika kuwa na saratani ya matiti duniani. Wanawake 465,000 walikufa kutokana na saratani ya matiti mwaka 2007 duniani. Marekani ya Kusini, Australia, Ulaya ndiyo mabara yanayoongoza kuwa na idadi kubwa ya matukio ya saratani ya matiti. Maeneo mengi ya bara la Afrika na Asia yana matukio machache ya saratani ya matiti. Kuongezeka kwa hatari ya kupata saratani ya matiti kunatokana na: - • Kuanza kupata mzunguko wa hedhi mapema katika umri mdogo. • Kupata kipindi cha ukomo hedhi. ...
“kujifukiza ni tiba ambayo ikitumika vizuri, inaboresha mfumo wa upumuaji “Dk Joseph Otieno
afya, Kitaifa

“kujifukiza ni tiba ambayo ikitumika vizuri, inaboresha mfumo wa upumuaji “Dk Joseph Otieno

MKURUGENZI wa Taasisi ya Utafi ti ya Dawa Asili Muhimbili (MUHAS), Dk Joseph Otieno, amesema kujifukiza ni tiba ambayo ikitumika vizuri, inaboresha mfumo wa upumuaji na kuusaidia mwili kupata nguvu ya kupambana na maradhi. Akizungumza na HabariLeo jijini Dar es Salaam, Dk Otieno alisema kwenye mlipuko wa virusi vya corona, ni vyema wananchi bila kujali kama wameathirika au la, wajenge tabia ya kujifukiza angalau mara mbili kwa siku ili kuukinga mwili usipate virusi hivyo. Kwa mujibu wa Dk Otieno, kujifukiza ni tiba iliyokuwa ikitumika katika jamii nchini na ilionesha matokeo chanya. “Nasisitiza tena kama nilivyosisitiza mwaka jana wakati wa janga la corona lilipoingia nchini, kujifukiza kwa njia sahihi ni kinga dhidi ya maradhi haya, cha msingi ni kutumia viungo sahihi na kufuata...
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar  azindua  Chama cha Madaktari Bingwa wa Maradhi ya Saratani Tanzania.
afya, Kitaifa

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar azindua Chama cha Madaktari Bingwa wa Maradhi ya Saratani Tanzania.

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mheshimiwa Hemed Suleiman Abdulla alisema wakati umefika sasa wa kuongezwa kwa huduma za Matibabu katika kutibu  maradhi ya Saratani kwa kuanzisha vituo vipya ili huduma hizo ziwafikie kwa ukaribu Wananchi mahali popote walipo. Alisema ongezeko hilo muhimu la Tiba ya Saratani italazimika kuzingatia zaidi upatikanaji wa Rasilmali Watu ambao ni Wataalamu mabingwa watakaokuwa makini katika kutoa huduma za Tiba ya Maradhi hayo yanayoonekana kuleta athari Nchini Tanzania. Mheshimiwa Hemed Suleiman Abdulla alieleza hayo wakati akikizindua Rasmi Chama cha Madaktari Bingwa wa Maradhi ya Saratani Tanzania {Tanzania Oncology Socierty - TOS} katika Ukumbi wa Hoteli ya Kimataifa ya Verde Mtoni pembezoni mwa Jiji la Zanzibar. Alisema Saratani ni moja ...