Friday, November 15

DINI

MAONESHO YA KIISLAMU KATIKA TAMASHA LA MAULID YAFUNGULIWA ZANZIBAR
DINI, Kitaifa

MAONESHO YA KIISLAMU KATIKA TAMASHA LA MAULID YAFUNGULIWA ZANZIBAR

Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi (mwenye koti)akiuliza maswali wakati alipotembelea Banda la PBZ  Ikhilas katika hafla ya ufunguzi wa Maonesho ya Kiislamu katika Tamasha la Maulid Mnara wa kumbukumbu Kisonge Jijini Zanzibar. Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi (wakwanza kushoto)akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Kituo cha Markazi ya Mkunazini Maalim Hamza Zubeir kuhusiana na Taarekh na Histaria ya wanavyuoni wa Afrika Mashariki wakati alipotembelea Banda hilo katika hafla ya ufunguzi wa Maonesho ya Kiislamu katika Tamasha la Maulid Mnara wa kumbukumbu Kisonge Jjini Zanzibar. Baadhi ya Wananchi na wageni mbalimbali waliohudhuria katika hafla ya ufunguzi wa Maonesho ya Kiislamu katika Tamasha la Maulid Mnara wa kumbukumbu Kisonge jijini Zanz...
SHAKA:Maalim Seif alitangulia mbele maslahi ya umma.
DINI, Kitaifa

SHAKA:Maalim Seif alitangulia mbele maslahi ya umma.

  NA ABDI SULEIMAN. KATIBU wa Itikadi na Uenezi CCM Taifa Shaka Hamdu Shaka, amesema Marehemu Maalim Seif Sharif Hamad alikuwa ni mtu mwenye upendo na uvumilivu uliopitiliza katika kuendesha siasa za Zanzibar na Tanzania kwa ujumla.   (more…)
Toa Sadaka yako kukamilisha ujenzi wa Madrssa Hii Kengeja Pemba
DINI, Kitaifa

Toa Sadaka yako kukamilisha ujenzi wa Madrssa Hii Kengeja Pemba

Enzi za uhai wake Marehem Baba yetu  alitoa eneo hili lililojengwa Madrassa ambayo imekamilika na kuendelea kusomewa  masomo ya Dini ya Kiislam hivi sasa,eneo jengine linaloendelea kujengwa madrassa vile vile ni sehemu tulioendeleza kutoa sisi warithi kama sadaka yetu  tena. (more…)
Ili Taifa Liwe na Amani ni Lazima Kuhakikisha kila Mwananchi Anapata haki zake za msingi.
DINI, Kitaifa

Ili Taifa Liwe na Amani ni Lazima Kuhakikisha kila Mwananchi Anapata haki zake za msingi.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  Dk. Hussein Ali Mwinyi alisema ili Taifa liwe na amani, ni lazima kuhakikisha kila mwananchi anapata haki zake za msingi. Dk. Mwinyi amesema hayo katika sherehe za Jubilee ya miaka 25 ya Askofu Mhashamu Augustine Shao, iliofanyika katika Uwanja wa Amani, Jijini Zanzibar. Amesema ili Taifa liwe na amani, ni vyema  likahakikisha kila mwananchi anapata haki zake za msingi, hivyo akaahidi kuzipatia ufumbuzi wa haraka  changamoto mbali mbali  zinazolikabili Kanisa. Aliwataka viongozi wote wa Dini katika madhehebu tofauti  kuwa waadilifu kwa kigezo kuwa hatua hiyo itawaletea sifa, sambamba na kuwajengea imani waumini wao. Akitoa ufafanuzi  juu ya sera ya Uchumi wa Buluu na utekelezaji wake,  Dk. Mwinyi alisema Serikali  imegawa dhana h...
ZRB yawafutarisha wafanyabiashara wao Pemba
Biashara, DINI, Kitaifa

ZRB yawafutarisha wafanyabiashara wao Pemba

  NA ABDI SULEIMAN. MKUU wa Mkoa wa Kusini Pemba Matar Zahor Massoud,ameungana na kamishana wa bodi ya Mapato Zanzibar (ZRB) Musaph Juma Mwenda, katika futari maalumu waliowaandalia wafanyabiashara wa Pemba. Akitoa neno la shukurani mara baada ya kumalizika kwa futari hiyo, kwa niaba ya kamishna wa bodi ya ZRB Zanzibar, mkurugenzi wa Utawala ZRB Pemba Jamal Hassan Jamal, aliwashukuru wafanyabiashara hao kuhudhuria katika futari hiyo. Alisema ZRB itaendelea kushirikiana na wafanyabiashara ili kuona kodi ya serikali inalipwa na wanatumia mashine za kieletroniki wakati wanapofanya malipo. Aliwataka wafanyabiashara hao kuachana na dhana potofu walionayonayo kuwa mashine hizo zinaongeza tozo, jambo ambalo sio hahihi. “ZRB itaendelea kuwashirikiana na wafanyabiashara m...