Friday, December 27

ELIMU

MAONYESHO YANATOA FURSA KWA WANAFUNZI-WAZIRI LELA
ELIMU, Kitaifa

MAONYESHO YANATOA FURSA KWA WANAFUNZI-WAZIRI LELA

NA ABDI SULEIMAN. WAZIRI wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Lela Mohamed Mussa, ameipongeza Wizara yake kwa kuratibu ufanyikaji wamaonyesho ya elimu ya juu Unguja na Pemba kwa miaka mitano sasa, ikiwemo kitengo cha elimu ya juu. (more…)
ASASI ZA KIRAIYA ZINAZOSHIRIKI MAPAMBANO DHIDI YA MAGONJWA YA KIFUA KIKUU ZIMETAKIWA KUONGEZA MASHIRIKIANO
afya, ELIMU

ASASI ZA KIRAIYA ZINAZOSHIRIKI MAPAMBANO DHIDI YA MAGONJWA YA KIFUA KIKUU ZIMETAKIWA KUONGEZA MASHIRIKIANO

  NA KHADIJA  KOMBO. Asasi za kiraya zinazoshiriki katika mapambano dhidi ya magonjwa ya Kifua kikuu wametakiwa kuongeza mashirikiano na kitengo shirikishi cha Ukimwi kifua kikuu , ukoma na homa ya Ini   katika  kuhakikisha wanaibua wagonjwa wengi na kupatiwa matibabu kwa haraka ili  kuepuka  maambukizi zaidi kwa jamii. (more…)