Tuesday, January 14

hifdhi na utalii

UJENZI NJIA ZA WANYANAMA PORI ‘SHOROBA’ KILOMBERO
hifdhi na utalii, Makala, MAZINGIRA

UJENZI NJIA ZA WANYANAMA PORI ‘SHOROBA’ KILOMBERO

  UJENZI NJIA ZA WANYANAMA PORI ‘SHOROBA’ KILOMBERO -Wananchi waramba fidia walioathiriwa na ujenzi ‘STEP’ yawaanzishia vikoba 250 kubadili maisha yao NA ABDI SULEIMAN, PEMBA “HAIKUWA kazi rahisi, kuwaelimisha wananchi mapaka kukubali, kutoa maeneo yao, kwa ajili ya ujenzi wa njia za wanyama pori ‘Shoroba’ na sasa imeshajengwa,’’ anasem Meneja Mpango wa kuhifadhi Tembo kusini mwa Tanzania ‘STEP’ Joseph Mwalugelo. Shoroba ni njia maalum, ambayo hupitwa na wanyama pori kutoka eneo moja kwenda jingine. (more…)
hifdhi na utalii

Simba ‘Bob Junior’afariki dunia.

Simba maarufu Kaskazini mwa Tanzania aliyeishi katika Hifadhi ya Serengeti, ‘Bob Junior’ ameuawa baada ya kushambuliwa na kundi la Simba watatu waliokuwa na lengo la muda mrefu la kuuangusha utawala wake, Mamlaka za hifadhi nchini humo zimethibitisha kifo hicho kilichotokea Jumamosi iliyopita. Simba hao watatu waliowahi kujaribu kujisimika ufalme walilelewa na ‘Bob Junior’ tangu wakiwa wadogo lakini majaribio ya kufanya mapinduzi mara kadhaa ili kuuangusha utawala wa Bob Junior haukufanikiwa na badala yake walikimbizwa katika maeneo hayo, yaliyopo mashariki mwa hifadhi hiyo. Simba ‘Bob Junior’ akisaidiana na kaka yake, Joel walitawala kwa zaidi ya miaka mitano na kuwa miongoni mwa Simba waliotawala kwa kipindi kirefu zaidi kabla ya kufanyika mapinduzi. Mhifadhi Mwandamizi wa hifad...
KAMATI YA BUNGE ARDHI, MALIASILI NA UTALII YARIDHISHWA NA UTEKELEZWAJI WA MIRADI HIFADHI YA TAIFA TARANGIRE
hifdhi na utalii

KAMATI YA BUNGE ARDHI, MALIASILI NA UTALII YARIDHISHWA NA UTEKELEZWAJI WA MIRADI HIFADHI YA TAIFA TARANGIRE

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imekagua ujenzi wa kiwanja cha ndege cha Kuro na mradi wa ujenzi wa jengo la kupumzikia abiria wenye thamani ya shilingi milioni 700 ikiwa ni sehemu ya miradi ya UVIKO - 19 tarehe katika Hifadhi ya Taifa Tarangire tarehe 14.3.2023. Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii , Mhe. Timotheo Mnzava (Mb) amesema miradi hiyo ina manufaa makubwa kwa Taifa katika kuongeza idadi ya watalii nchini. “Tunampongeza na kumshukuru sana Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan kwa namna ambavyo ameendelea kutoa fedha nyingi na maelekezo ya kuendelea kusisitiza utekelezaji wa miradi na kwa namna ya kipekee tunaipongeza Wizara na TANAPA, tumeridhika na kazi iliyofanyika” alisema Mhe. Mnzava. Akizungumzia mradi wa mabore...
TANZANIA YASHIRIKI MAONESHO YA ITB BERLIN 2023 NCHINI UJERUMANI
Biashara, hifdhi na utalii

TANZANIA YASHIRIKI MAONESHO YA ITB BERLIN 2023 NCHINI UJERUMANI

Kassim Nyaki na Samwel Nsyuka, Berlin. Tanzania ni miongoni mwa Nchi zinazoshiriki katika maonesho makubwa ya Utalii Duniani (*International Tourism - Börse Berlin*) yanayofanyika katika jiji la Berlin Nchini Ujerumani kuanzia tarehe 7-9 Machi, 2023 ambapo mataifa 180 yanashiriki maonesho hayo. Ujumbe wa Tanzania unaoshiriki maonesho hayo unaongozwa na Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) ambapo Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA), Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA), Shirika la ndege Tanzania (ATC) pamoja na kampuni 58 kutoka Sekta binafsi nchini Tanzania zinashiriki maonesho hayo. Balozi wa Tanzania Nchini Ujerumani Mhe. Dkt. Abdallah Possi ameeleza kuwa maonesho ya ITB Berlin ni maonesho makubwa na muhimu kwa wadau wa sekta ya Utalii duniani kukutana na kuuza bidhaa za utali...
HIFADHI YA TAIFA YA UDZUNGWA -Inyohifadhi miti aina 2500, wanyama aina 12 ni kivitio cha watalii
hifdhi na utalii, Kitaifa, Makala, MAZINGIRA

HIFADHI YA TAIFA YA UDZUNGWA -Inyohifadhi miti aina 2500, wanyama aina 12 ni kivitio cha watalii

                 HIFADHI YA TAIFA YA UDZUNGWA   -Inyohifadhi miti aina 2500, wanyama aina 12 ni kivitio cha watalii  -Maporomoko yake ya maji ndio chanzo cha uzalishia umeme wa Kidatu NA ABDI SULEIMAN, PEMBA Ni eneo tulivu likiwa na mazingira mazuri ya kuvutia, hali ya hewa yenye ubarid baridi ndani yake, huku sauti za wanyama mbali mbali zikisikika, ikiwemo ndege na Kima. Sauti ya maporomoko ya maji yakisikika kwa ukaribu kutoka ndani ya maporomoko ya maji yaliyoko ndani ya hifadhi hiyo ya milima ya Udzungwa. (more…)