Saturday, October 19

Kitaifa

Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makaazi Mhe Riziki Pembe Juma amkabidhi Ofisi Waziri wa Elimu na mafunzo ya Amali, Mhe Simai Mohammed Said.
Kitaifa

Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makaazi Mhe Riziki Pembe Juma amkabidhi Ofisi Waziri wa Elimu na mafunzo ya Amali, Mhe Simai Mohammed Said.

  Na Mwandishi wetu    Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar imefanya makabidhiano ya ofisi kwa aliekuwa Waziri wa Wizara hiyo Mhe Riziki Pembe Juma ambae kwa sasa ni Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makaazi na kumkabidhi Mhe Simai Mohammed Said. Hafla hiyo ya makabidhiano imefanyika katika ukumbi wa Wizara hiyo Mazizini Mjini Unguja. Akizungumza baada ya makabidhiano hayo aliekuwa Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe Riziki Pembe Juma ameushukuru uongozi wa Wizara hiyo kwa malezi na ushirikiano mkubwa waliompa katika kipindi chote cha uongozi wake ndani ya Wizara hiyo na kuweza kuzalisha viongozi walioweza kupanda kutoka Naibu Waziri na kuwa Waziri kamili. Aidha Mhe Riziki ameiahidi Wizara hiyo kuendelea kuwapa ushirikiano wa k...
Kitaifa

Vijana wafundwa afya ya uzazi

IMEELEZWA kuwa zaidi ya vijana Milioni 3000 wanafariki kila siku kwa sababu ambazo zinaweza kuepukika, ikiwemo ajali, unyanyasaji, matatizo ya afya ya uzazi ikiwemo maradhi ya kujamiana na Ukimwi. Hayo yameelezwa na mkurugenzi wa maendeleo ya Vijana Zanzibar, Kutoka Wizara ya Vijana Utamaduni Sanaa na Michezo Mwanaidi Mohamed Ali wakati alipokuwa akziungumza na waandishi wa habri mara baada ya kufungua mafunzo ya siku nne juu ya Afysa ya Uzazi kwa vijana yaliyofanyika mjini Chake Chake. Alisema vijana ndio watu wanaokumbana na changamoto nyingi katika masuala ya afya ya uzazi, kutokana na kukumbana na vishawishi vingi katika umri wao. Alifahamisha kuwa lengo la mafunzo hayo ni kuwajengea uwelewa vijana juu ya masuala ya afya ya uzazi kwa vijana, kutokana na kuwa ndio wanaokumb...
ZAC yazidi kupambana na maambukizi ya Ukimwi.
Kitaifa

ZAC yazidi kupambana na maambukizi ya Ukimwi.

NA SALIM TALIB, PEMBA.     NA SALIM TALIB, PEMBA. OFISA Mdhamini Wizara ya Elimu na mafunzo ya Amali Pemba, Mohamed Nassor Salim, ameipongeza Tume ya UKIMWI Zanzibar kwa juhudi kubwa wanazozichukua za kupambana na maradhi hayo, ambapo tafiti za mwaka 2016-2017 kuonesha watu walioathirika ni 0.4% Unguja na 0.2% Pemba. Alisema, ni vyema Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ikishirikiana na tume hiyo kuendelea kuchukua jitihada zaidi katika kupambana na janga hilo hadi kufikia kuyamaliza kabisa kwa kufikia asilimia 0.0%. Aliyasema hayo wakati alipokua kizungumza kwa niaba ya Mkurugenzi wa Baraza la Mji Chake chake katika Bonanza la maadhimisho ya siku ya UKIMWI Duniani Kiwilaya lililofanyika katika kiwanja cha Polisi Madungu Wilaya ya Chake Chake. Alifahamisha ...
SOS yakabidhi milioni 40 Tumbe.
Kitaifa

SOS yakabidhi milioni 40 Tumbe.

  SHIRIKA lisilo la kiserikali SOS Zanzibar limekabidhi hundi yenye thamani ya zaidi ya shilingi Milioni 40, kwa uongozi wa halmashauri ya Wilaya ya Micheweni, kwa ajili ya kumalizia ujenzi wa kituo cha afya cha Tumbe wilaya ya Micheweni. Hafla hiyo ya makabidhiano ya hudi hiyo, imefanyika katika ukumbi wa Mikutano Micheweni, huku ikihuduriwa na viongozi mbali mbali, wakiwemo watendaji kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Micheweni pamoja na viongozi kutoka SOS wakiwa na mjumbe wa bodi wa shirika hilo. Akizungumza kabla ya makabidhiano hayo Mjumbe wa Bodi wa Shirika la SOS Zanzibar Dk.Issa Seif Saleh alisema lengo la kukabidhi fedha kwa ajili ya kumalizia kitengo cha mama na mtoto Tumbe. Alisema kazi yao kubwa SOS ni kuwalinda watoto na kuwalea, kuwakuza na kuwapa maadili y...
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar atembelea Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Aman Karume.
Kitaifa

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar atembelea Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Aman Karume.

  Na Othman Khamis, OMPR Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mh. Hemed Suleiman Abdalla amekemea uwepo wa ubovu wa baadhi ya Mashine za kukagulia Abiria na Mizigo kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Aman Karume Kisauni jambo ambalo halikubaliki katika eneo hilo muhimu kwa Uchumi wa Taifa. Alisema changamoto hiyo mbali ya kuzurotesha utoaji wa huduma kwa abiria pamoja na mizigo  lakini pia unaweza kusababisha upatikanaji wa mwanya kwa Wafanyabiashara wenye tabia mbaya ya kuendesha biashara haramu inayoweza kuliingiza Taifa mahali pabaya. Mheshimiwa Hemed Suleiman Abdalla alitoa kemeo hilo alipofanya ziara fupi kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimaitaifa wa Abeid Aman Karume Kisauni na kutoridhika na uwezo wa baadhi ya Mashine zisizofanya kazi wakati Serikali imeshajipanga kuon...